Ndondi: Mtanzania Hassan Mwakinyo amchapa kwa TKO Sergio Gonzalez kutoka Argentina

Ndondi: Mtanzania Hassan Mwakinyo amchapa kwa TKO Sergio Gonzalez kutoka Argentina

Nampongeza kwa ushindi ila ni vyema kuutazama uhalisia wa vigezo na kiwango kuliko kumkweza mtu kwakua tu ni mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, bado Mwakinyo ana safari ndefu. Hizo upper cuts alizofumuliwa binafsi sijazipenda. Huyu aliyepigana naye inaonyesha ana uzoefu mkubwa ktk masumbwi basi tu age imemtupa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera yake nasubiri mambumbumbu ya Lumumba yaje yaseme huu ushindi ni ilani yao ya chama
 
Kwa sasa Jamaa anatakiwa apate kocha wa kimataifa, vifaa bora vya mazoezi, chakula maalum pamoja na promota wa uhakika na mwenye jina lake.
 
Pambano linafanyika Kenya katika ukumbi wa KCC liko live KBC baina ya Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Rodriguez Wa Argentina
-------
Bondia Mtanzania amefanikiwa kumpiga kwa TKO mpinzani wake katika round ya 5.
Tumpongeza Mwakinyo lakini ana safari ndefu sana kuthibitisha ubora wake.jana usiku nimeangalia hilo pambano la utangulizi,anapigana bila maarifa kiasi kwamba mpinzani wake angevumilia kumaliza raundi zote angeshinda kwa point nyingi.
 
Hapana mkuu
Vladimir Klitchko Alikuwa na miaka zaidi ya 40 wakati Joshua akimchapa., wakati Joshua ni 20s.
Hapa ni kama wapo level moja, age is just numbers
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu huelewi.

Kwenye vitu vinavyohitaji nguvu umri ndio factor kuu, asikudanganye mtu. Mpira au ngumi umri ni jambo la muhimu kuliko chochote.

Binadam yoyote anakua kwenye peak ya ubora wake wa nguvu kwenye miaka 20 hadi early 30s, baada ya hapo nguvu zinaanza kuisha.

Ndio maana kwenye mpira hata uwe mzuri vipi ukifikisha miaka 30 ubora wako unaanza kupungua, sio kwa sababu unataka ila kwa sababu umri unakataa.

Miaka 20 na 40 utawalinganisha kw alipi, huyu yuko kwenye peak na huyu yuko kwenye deminish, hawawezi kua sawa.

Asikudanganye mtu, age matters.
 
Yes Mwakinyo Sio Bondia Wa Point Bali Ni Bondia Wa Simple Knockout
Tumpongeza Mwakinyo lakini ana safari ndefu sana kuthibitisha ubora wake.jana usiku nimeangalia hilo pambano la utangulizi,anapigana bila maarifa kiasi kwamba mpinzani wake angevumilia kumaliza raundi zote angeshinda kwa point nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom