Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Yeah, bado Mwakinyo ana safari ndefu. Hizo upper cuts alizofumuliwa binafsi sijazipenda. Huyu aliyepigana naye inaonyesha ana uzoefu mkubwa ktk masumbwi basi tu age imemtupa mkono.Nampongeza kwa ushindi ila ni vyema kuutazama uhalisia wa vigezo na kiwango kuliko kumkweza mtu kwakua tu ni mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app