Ndondo Cup kufa kifo cha mende

Ndodo haiwezi kufa omba dua nyingine lkn hiyo ni dua inayoishia kichwani mwako! Yaani kombe kupelekewa Bashiru ndio Ndodo ife? Acha chuki za namna hiyo Mkuu
 
The brain behind Ndondo Cup.
Umpende au umchukie, hakuna Ndondo Cup bila yeye. Tuwe realistic. Binafsi simpendi lakini huo ndiyo ukweli.
Shafii kaenda kama muandishi wa habari za michezo sio kama muasisi wa ndondo cup
 
Ndondo haiwezi kufa lakini CCM wakileta sana UCCM kwa timu yao, basi kuna hatari ikaanza kukosa support ya mashabiki kama ilivyokuwa kwa Mbeya City! It's a genius move kuiita UV Temeke, kwa sababu ni hadi mtu akufafanulie ndipo utakuja kujua UV Temeke ni UVCCM Temeke!!
 
Labda ndondo wamelazimishwa kupeleka kombe huko...

Maana siku hizi wanasiasa wanatafuta sifa za nguvu...


Cc: mahondaw
 
Machadema hayapendi michezo. Yamekalia kupinga tu, ona sasa jamaa wa uvccm wanachukua kikombe cha Ndondo kiulainii.
 
usiongee kitu usichokijua ndondo zimeanza muda mrefu ksabla hata ya clouds kuanzishwa ni heri kunyamaza kama kitu hukijui wachezaji wa simba na yanga na timu nyingine kabla ya kujiunga na timu hizo walikuwa na timu zao za mitaani baada ya ligi kuisha au wakati wa mapumziko walikuwa wanarudi kucheza timu zao za mitaani timu mojawapo ni avenger sijui kama unaifahamu wakina shafii dauda walichofanya ni promotion tu
 
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?View attachment 1187449

Usiwe unaweka chuki sana bila kusoma vizuri au kujua mambo, washindi ni UVCCM sasa waziri wa michezo anaingiaje?
 
Usiwe unaweka chuki sana bila kusoma vizuri au kujua mambo, washindi ni UVCCM sasa waziri wa michezo anaingiaje?
Sasa wamejulikana ni Lumumba, wasubiri msimu ujao tuone.
 
Hongera magufuli
Mafanikio ya kuchaguliwa kiongoza sadic yanaonekana

Mpira wetu unakua
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kutoka Sadc mpaka ndondo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hii Kali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ