Sangabuye
Senior Member
- Mar 2, 2018
- 123
- 153
Ni mwandaaji wa mashindanoShafii ni nani hapa nchini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwandaaji wa mashindanoShafii ni nani hapa nchini?
SURE!The brain behind Ndondo Cup.
Umpende au umchukie, hakuna Ndondo Cup bila yeye. Tuwe realistic. Binafsi simpendi lakini huo ndiyo ukweli.
Shafii kaenda kama muandishi wa habari za michezo sio kama muasisi wa ndondo cupThe brain behind Ndondo Cup.
Umpende au umchukie, hakuna Ndondo Cup bila yeye. Tuwe realistic. Binafsi simpendi lakini huo ndiyo ukweli.
Shafii ni nani hapa nchini?
usiongee kitu usichokijua ndondo zimeanza muda mrefu ksabla hata ya clouds kuanzishwa ni heri kunyamaza kama kitu hukijui wachezaji wa simba na yanga na timu nyingine kabla ya kujiunga na timu hizo walikuwa na timu zao za mitaani baada ya ligi kuisha au wakati wa mapumziko walikuwa wanarudi kucheza timu zao za mitaani timu mojawapo ni avenger sijui kama unaifahamu wakina shafii dauda walichofanya ni promotion tuHayo mashindano na mitaani yapo mengi..ishu ni kuwa Clouds wamekuja na kuanzisha ya kwao na kuyasimamia..ukisema wanayapromote unakua unasema uongo au unakuwa hujui unachokizungumza..Hao kina Shaffih ndo wasimamizi wakuu kuanzia kutafuta sponsors,kusimamia taratibu za mashindano,taratibu ambazo wameziweka wao,,kutoa zawadi,,..kimsingi wanasimamia kila kitu maana ni mashindano yao..unasemaje wanafanya tu promotion??..unajua maana ya kufanya tu promotion??
Hizo ni juhudi za Mtukufu Mwenyekiti Jiwe,makofi tafadhaliMachadema hayapendi michezo. Yamekalia kupinga tu, ona sasa jamaa wa uvccm wanachukua kikombe cha Ndondo kiulainii.
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?View attachment 1187449
AFCONMashindano yanaitwa Sports extra ndondo cup..sports extra ni kipindi cha michezo Cloud's Fm,unasemaje Shaffih sio mwanzilishi??
Hao Total ni wadhamini wakuu,mashindano ni ya CAF na yanasimamiwa na CAF..je sports extra ndo wadhamini wa ndondo cup??AFCON
-
Total-AFCON
La Liga
-
La Liga Santander
Kiuhalisia ni hivyo japo inaonyesha wamejimilikisha.Hao Total ni wadhamini wakuu,mashindano ni ya CAF na yanasimamiwa na CAF..je sports extra ndo wadhamini wa ndondo cup??
Nakubaliana na wewe!Kiuhalisia ni hivyo japo inaonyesha wamejimilikisha.
😊😊😊😊Basi sifa na ziende kwa Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Kwa kuiwezesha UVCCM kuchukua Ndondo Cup kwa mara ya kwanza tangu CCM iumbwe.
😂😂😂Kutoka Sadc mpaka ndondo😂😂😂Hii Kali 🤣🤣 🤣Hongera magufuli
Mafanikio ya kuchaguliwa kiongoza sadic yanaonekana
Mpira wetu unakua
😂😂😂Kutoka Sadc mpaka ndondo😂😂😂Hii Kali 🤣🤣 🤣Hongera magufuli
Mafanikio ya kuchaguliwa kiongoza sadic yanaonekana
Mpira wetu unakua