Ndoto 20 zinazoweza kukufunga kwenye umaskini bila kujua – Tafsiri yake itakushangaza!

Hakuna kitu kizuri kama Kubota ndota na unaamka ukaikumbuka, inamaana ulikua unapewa taarifa. Ndogo ulizooroshesha kama ukiota mojawapo na ukaikumnuka ni vizuri sana maana umepewa taarifa ili urekebishe palipoharibika, usiogope. Cha msingi ni kuyaangalia maisha yako na kuyaratibu na kupiga sala kwa imani yako kumwombo Mola akuongoze na akuepushe na mabaya yote. Ndoto ni maono, ni wachache hupewa maono ya maisha yao wakayapokea na kuaelewa na kujua wafanyeje.
 
Acha kuokoteleza habari,ndoto inaamana Pana sana hasa ya kuota uko shule,kuota uko shule au unafanya mtihani sio ndoto Mbaya,ongea na wataalamu wa maswala y pa ndoto ,so wewe uliyeokoleza na kuja kutudanganya humu uonekane mtaalamu kumbe huna ujualo.
 
Expect something in life
 
Naona siku hizi umeingia kwenye mambo ya rohoni
 

Nikuulize swali

Itakuaje ndoto zako ziweze Ku-link na vitu ambavyo ni man-made wakati ulimwengu wa roho haupo connected na hayo mambo.

Mfano kuota upo Shule - this is man made , mtu ambaye hakuwahi kwenda Shule kabisa je ? Ataota nini ?

Kuhusu Ndege na Gari- mtu ambaye hajawahi kuona ndege wala kuona Gari wala kusikia hivyo vitu je ataota nini ?


Ndoto Ambazo zinahusiana na wewe huwa zinakuwa zipo symbolically Kama alivyoota Nabii Yusufu wa Biblia /Quruan.

Hizi ndoto nyingine zinatokana na stress na mawazo yako ya maisha
 
Ni kweli mkuu ila mtu mwenye Imani za kishirikina hawezi kuelewa nguvu iliyopo kwenye ndoto binafsi Mimi hujua baadhi ya mambo kabla kutokea kupitia ndoto
 
Nini kifanyike akishaota hivyo
 
Ndoto ni fumbo. Unahitaji umakini iweze kufumbua Hilo fumbo.
Pia Mungu humuonesha mwanadamu fumbo kwa kupitia maisha yake ya kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…