Ndoto 20 zinazoweza kukufunga kwenye umaskini bila kujua – Tafsiri yake itakushangaza!

Ndoto 20 zinazoweza kukufunga kwenye umaskini bila kujua – Tafsiri yake itakushangaza!

Kuota ndoto hii mara moja ni dalili ya kufanikiwa

Kuiota mara kwa mara ni dalili ya kusumbuliwa na jini subiani mbaya na huyu huwa katika kundi la jini mahabba hapa ndo utaona mambo hayaendi yamekwama kila ufanyalo huushia kupata hasara

Ndoto hii pia huiota mtu mwenye kuumwa mara kwa mara na hasa wale wanaoumwa sana vichwa miguu na mikono
. Hizo dalili za kupata hasara au mambo kukwama sina mkuu. 🤔🤔.

. Ila mimi ni mroho sana kwenye mademu, 😒😒😒, nahisi kuna siku nitakuja kuuza hata maburi ya urithi ili nihonge pesa mademu.
 
Back
Top Bottom