Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Nimekwambia nahitaji watu wa nyota? Au watu wa nyota pekee ndio wana maarifa na tafsiri za ndoto? …Duh ndoto moja tu hayo si mateso,
ulishawahi jaribu kula sana mpaka ukavimbiwa nakuapia huwezi kuota hyo ndoto😁😁😁
Au jaribu REM sleep, ni aina ya ndoto inayoweza kufanya uweze ku control ndoto yako. Hii itasaidia maana unachohitaji ni mtu wa psychology sio watu wa nyota ni waongo
Nielezee kuhusu REM