Ndoto 20 zinazoweza kukufunga kwenye umaskini bila kujua – Tafsiri yake itakushangaza!

Hutokea mara kwa mara naota nimepoteza simu au imeibiwa.. usiku wa kuamkia leo nmeota imeibiwa na mtu wakati nimeiweka kwenye chaji lakini niliweza kutambua na kumfata na kuipata..
ndoto hii inanisumbua sanaaa na kunitafakarisha Mshana Jr
 
Simple tu
Una simu ya bei kubwa au ina umuhimu mkubwa kwako unahofia kuipoteza, hivyo ubongo unaweka tick ni kitu cha muhimu, ina project usiku kama ndoto
 
Infinix yangu wala siiwazi na wala haipo kwenye ubongo wangu.. inaweza fika hata wiki sijatumia simu kabisa na ni sawa tu kwangu…
Ninaota kwa miaka sasa ndoto ya aina moja… nimeshindwa kutafuta maarifa juu ya maana yake.
 
Simple tu
Una simu ya bei kubwa au ina umuhimu mkubwa kwako unahofia kuipoteza, hivyo ubongo unaweka tick ni kitu cha muhimu, ina project usiku kama ndoto
Mkuu tusijifanye wajuaji wa haya mambo ni kuamini according to how the nature is.
 
Ninaota kwa miaka sasa ndoto ya aina moja…
Duh ndoto moja tu hayo si mateso,
ulishawahi jaribu kula sana mpaka ukavimbiwa nakuapia huwezi kuota hyo ndoto😁😁😁

Au jaribu REM sleep, ni aina ya ndoto inayoweza kufanya uweze ku control ndoto yako. Hii itasaidia maana unachohitaji ni mtu wa psychology sio watu wa nyota ni waongo
 
Read here
 
Karibu ndoto zote ni negatives tupu.
Ukitaka kutoboa kwenyewe hakuna ndoto zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…