Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Nimekwambia nahitaji watu wa nyota? Au watu wa nyota pekee ndio wana maarifa na tafsiri za ndoto? β¦Duh ndoto moja tu hayo si mateso,
ulishawahi jaribu kula sana mpaka ukavimbiwa nakuapia huwezi kuota hyo ndotoπππ
Au jaribu REM sleep, ni aina ya ndoto inayoweza kufanya uweze ku control ndoto yako. Hii itasaidia maana unachohitaji ni mtu wa psychology sio watu wa nyota ni waongo
How about future why I'm I seeing the future if you can well explain that concept!!Dreams are just a state where by a brain tries to migrate informations( memory) from hippocampus to be long stored or simply discarded with somehow amygdala working on a process... Processing emotions
Hii inatokea kama dakika 90 baada ya kulala ambapo ubongo muda huo unakuwa upo active, mfano hii inatokea mara nyingi unakua umelala halafu unataka kwenda haja ndogo kabla hujaanza kujisaidia unaanza kujifikiria hii ni ndoto au ni kweli,Nielezee kuhusu REM
You can't see the futureHow about future why I'm I seeing the future if you can well explain that concept!!
Just by your own perception but on my side I usually dream reality things I usually predict what may happen then happens as it is!You can't see the future
Your prefontal cortex just analyse the data and memory it have and anticipate what the future maybe
Everything is coded in very simple and coordinated way
Then your prefontal cortex is highly functioningJust by your own perception but on my side I usually dream reality things I usually predict what may happen then happens as it is!
Mkuu, what I dreamed yesterday is what happened todayThen your prefontal cortex is highly functioning
We should put you in a TV reality show
Mimi huwa siamini sana mambo ya maana ya ndoto ila kuna ndoto moja nishawahi kuota mchana, niliota nipo chumbani nimekaa natumia simu huku ikiwa kwenye chaji mara nikashtuka toka kwenye ndoto nikaamka kitandani kisha nikaenda pale nilipo kaa kwenye ndoto nikaanza kutumia simu tena ikiwa ipo chaji ila kumbe nilikuwa bado naota nikashtuka mara ya pili nikaa kitandani nikaanza kujifikiria kwa hofu bado naota au ndio nimeshaamka, ghafla nikaitwa nje nikamka kwenda nje ndo nikajua nimeshaamka, mpaka leo huwa nawaza hyo ndoto ilikuwa ya ajabuMkuu, what I dreamed yesterday is what happened today
Mkuu huwa Mimi naamka na kutabiri death π za watu fulani, ajali na mambo mengine before Sasa ntaacha je kuamini ndoto nnazo otaMimi huwa siamini sana mambo ya maana ya ndoto ila kuna ndoto moja nishawahi kuota mchana, niliota nipo chumbani nimekaa natumia simu huku ikiwa kwenye chaji mara nikashtuka toka kwenye ndoto nikaamka kitandani kisha nikaenda pale nilipo kaa kwenye ndoto nikaanza kutumia simu tena ikiwa ipo chaji ila kumbe nilikuwa bado naota nikashtuka mara ya pili nikaa kitandani nikaanza kujifikiria kwa hofu bado naota au ndio nimeshaamka, ghafla nikaitwa nje nikamka kwenda nje ndo nikajua nimeshaamka, mpaka leo huwa nawaza hyo ndoto ilikuwa ya ajabu
WowMkuu, what I dreamed yesterday is what happened today
mkuu sio kila ndoto ni mawazo ya mchana...Ndoto ni mkusanyiko wa Mawazo ambayo hukumaliza mchana.
Kamwe huwezi Kuota kitu ambacho hujawahi kukiwaza
Mkuu haya masuala hata Madaktari na Wanasayansi wote wanaojaribu kudanganya watu nj fake Mungu huongea na watumishi wake kwa kupitia ndotoWow
Your dreams are just replays of the hippocampus in fragmented way
And during dreaming prefontal cortex is also asleep or lazy thats why most of the time dreams are illogical and bizzare also the reason why we don't know why when we are dreaming
In lucid dreams prefontal cortex is reactivated and a person knows he is dreaming and basically increased activity in dorsolateral cortex enables self awareness during dream which maybe happening to you
Nmeona mleta mada kaongelea mambo ya ndoto za utotoni sijui upo shule ya msingi
Those are just unresolved emotional conflicts and hippocampus keeps replaying same pattern over and over and over until conflict is resolved
Mkuu shetani anateka watu sana aisemkuu sio kila ndoto ni mawazo ya mchana...
tupunguze ujuaji wakati tunaenda kanisani kila siku.. watumishi wa Mungu walipewa maono kupitia ndoto, Je na wao waliwaza hayo maono mchana?
And to answer you correctly let me tell you thisMkuu, what I dreamed yesterday is what happened today
Oooh i didn't know you don't believe in science i am a Christian but i am scientistMkuu haya masuala hata Madaktari na Wanasayansi wote wanaojaribu kudanganya watu nj fake Mungu huongea na watumishi wake kwa kupitia ndoto
sometimes the brain can create an alternate reality to shield itself from traumaAnd to answer you correctly let me tell you this
The human brain is designed to recognize patterns and find meaning in random events.
People have many dreams, but they tend to only remember the ones that match real-life events.
When a dream resembles reality, the brain focuses on that "hit" and ignores the many "misses".
This is called confirmation bias... Mkuu nmechoka hee
How do you prove your statement?Oooh i didn't know you don't believe in science i am a Christian but i am scientist
Change your perception you will enjoy a lot in this imaginary world
Man i am so sorry i thought i was talking with someone who is scientistHow do you prove your statement?