Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Morng African.
Kuna ndoto imekuwa inanijia mara kwa mara lakini sijui maana yake naomba msaada kwa anaejua.
Jana nimeota narudi kazini pale ambapo niliacha mweenyewe na ujio wangu wa kurudi pale boss anaonekana kufurahia wafanya kazi wezangu nao wanafurahi sana lakini sijawaelewa.
Mara nyingine naota narudi hapoa kazini ambapo niliacha mwenyewe.