Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
In his twisted dreams ! Unatumwa kijasusi, unagindulika halafu unajimwambafy! inajulikana iyo.
 
Katika mambo CHADEMA ilifanya kwa usahihi ni kumfukuza huyo snitch. Stupid snitch. Hongera CHADEMA
 
Back
Top Bottom