CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
aiseeeeee. ndoto yako ishindwe
we unampenda mbunge yupi wa cdm katika kiwango hicho?
aiseeeeee. ndoto yako ishindwe
Kila mtu akiamua kusema anachootaga basi itasababisha sintofahamu kwenye Jamii... You could have done better if you kept it for yourself Ms. Charming!
Kila mtu akiamua kusema anachootaga basi itasababisha sintofahamu kwenye Jamii... You could have done better if you kept it for yourself Ms. Charming!
Samahani mkuu... Hapa CC kila mtu ana uhuru wa kusema chochote awazacho, afanyacho bila kuvunja sheria. Mbona kuna thread nyingi humu CC hazina kichwa wala miguu lakini zinaexist... Thats why sijapeleka Jukwaa la Siasa au Habari Hoja mchanganyiko au Jukwaa la Matangazo.
Shem ! Kulikoni tena?
Naona mazao ya Foma, Tosi, Omo!
Ado'ado semegi .
Samahani mkuu... Hapa CC kila mtu ana uhuru wa kusema chochote awazacho, afanyacho bila kuvunja sheria. Mbona kuna thread nyingi humu CC hazina kichwa wala miguu lakini zinaexist... Thats why sijapeleka Jukwaa la Siasa au Habari Hoja mchanganyiko au Jukwaa la Matangazo.
Bila samahani mkuu..... Pia samahani kwa mtazamo wangu Mkuu.
Jioni njema kwako.
ndoto inashindwaje ikishaotwa?
charminglady wife naona umenimiss mpk unaota ndoto mbaya asee
mkubwa kumbe we ni mbunge? never know ths!!
Mli mhola wana CC wote?????
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto hii, Mbunge mmoja maarufu na machachari amefariki dunia. Mara baada ya mimi kupewa taarifa hizo nikazimia. Nilipozinduka nikaanza kuuliza ni nini kimetokea ndipo nilipopewa taarifa hizo tena. Nililia saaaana tena saaana......
Duh, sijui ni ndoto tu ama ni nini????