CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
mbunge gani tena na ni nani tena my cousin?
Ntakunong'oneza.... Ila cousin hyo avatar mmmmhh...........
mbunge gani tena na ni nani tena my cousin?
Ntakunong'oneza.... Ila cousin hyo avatar mmmmhh...........
huyu mkaka ananilinda my cousin siunajua nimekuwa mwiba humu mjengoni na natafutwa na interpol wa marekani
Unategemea ulinzi wa binadamu mwenzako? Anyway kwa vile hilo jibu umelitoa kwenye jukwaa la CC, haina noma
aiseeeeee. ndoto yako ishindwe
Ntakunong'oneza.... Ila cousin hyo avatar mmmmhh...........
jamani mnapenda kufakamia mambo yasiyowahusu yatawashinda,
mind yr business!!!!
Juu kidogo like, chini mabango what does it mean my sister. Ni kosa kutoa comment tena now days, and thank God a very friendly comment as per CC, sasa mambo ya mipasho ya kufakamia yasiyotuhusu na mind your business yanatoka wapi, inakuwa as if I/you have personal conflict with you/me. If there is a conflict at your side I am sorry madam, I don't want to hurt any body in this world without any reason.
sikukukwambia wewe nilimwambia mwingine hivyo umeingilia daku ambalo si lako bestito,
ila usijali tuko pamoja
Hii inshu ipo serious.......mimi usiku wakuamkia leo nimeota mbunge wa CDM amefariki.Tena ni mbunge machachari ile mbaya.
Mli mhola wana CC wote?????
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto hii, Mbunge mmoja maarufu na machachari amefariki dunia. Mara baada ya mimi kupewa taarifa hizo nikazimia. Nilipozinduka nikaanza kuuliza ni nini kimetokea ndipo nilipopewa taarifa hizo tena. Nililia saaaana tena saaana......
Duh, sijui ni ndoto tu ama ni nini????
Hii inshu ipo serious.......mimi usiku wakuamkia leo nimeota mbunge wa CDM amefariki.Tena ni mbunge machachari ile mbaya.
Na bado mta ota sana hafi hata mmoja.
Hii inshu ipo serious.......mimi usiku wakuamkia leo nimeota mbunge wa CDM amefariki.Tena ni mbunge machachari ile mbaya.
Kwan we miss strong hujafa bado?
Me niliota umekufa eti!