NDOTO: Mbunge mmoja maarufu na machachari wa CDM afariki dunia.

jamani mnapenda kufakamia mambo yasiyowahusu yatawashinda,
mind yr business!!!!
Unategemea ulinzi wa binadamu mwenzako? Anyway kwa vile hilo jibu umelitoa kwenye jukwaa la CC, haina noma
 
haha....Mkuu Judgement eti kidume cha seeds! sasa mbona na wewe umesema ndoto yako...ulitakiwa kuitunza tuu
Umenena kidume cha seeds!
Mf. Mie nshaotaga member wa jeiefu wote mmededi kwa kusink na Ship!
Nikarimeini mie na YNNAH ! Tu!
Afu tukainunua Jf kwa mkopo!
 
Last edited by a moderator:
jamani mnapenda kufakamia mambo yasiyowahusu yatawashinda,
mind yr business!!!!

Juu kidogo like, chini mabango what does it mean my sister. Ni kosa kutoa comment tena now days, and thank God a very friendly comment as per CC, sasa mambo ya mipasho ya kufakamia yasiyotuhusu na mind your business yanatoka wapi, inakuwa as if I/you have personal conflict with you/me. If there is a conflict at your side I am sorry madam, I don't want to hurt any body in this world without any reason.
 
sikukukwambia wewe nilimwambia mwingine hivyo umeingilia daku ambalo si lako bestito,
ila usijali tuko pamoja
 
Hii inshu ipo serious.......mimi usiku wakuamkia leo nimeota mbunge wa CDM amefariki.Tena ni mbunge machachari ile mbaya.
 

Dawa yake acha kuota charminglady. Ndoto nyingine sio kabisa.
Ha ha ha ha ha ha....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…