Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana bado hawajapatikanawaandae na vijana wawe baba bora ili chemistry iwe balanced 😄
Wakipata kazi wanaona wanaume ni sawa na wao.Barikiwa sana Mkuu, umeona mbali! Wachana na "Kazi yangu ndio mume" !
Sahihi mkuu, lazima misingi imara ianzie nyumbani.Ni kweli mkuu,inaanza na wewe kwanza
Hakika atanisikiaIatamie hiyo ndoto yako kwa Maombi.
Pengine Mungu stakusikia
Pia malezi yana nafasi kubwa kuamua future ya mtoto, japo ni kweli kila mtu ana akili zake.Mtoto anakuja na akili zake,lolote laweza kutokea.
Hakuna tatizo kuhusu ndoto zake, lakini lazima ajue purpose ya Kwanza ni kuwa Mama bora, endapo akipuuza basi ataenda na ulimwengu utamfunza.Kama binti yako pia akijakua na ndoto zake, saitakuaje...??
Inapendeza sana
Tabia njema kwako kwanza...ukitifuatifua wa wenzio ...maji hufuata mkondoSahihi mkuu, lazima misingi imara ianzie nyumbani.
Chamsingi tusifanyie watoto wa watu mambo ambayo hatutopenda watoto wetu wafanyiwe.Tabia njema kwako kwanza...ukitifuatifua wa wenzio ...maji hufuata mkondo
Shukran, na iwe heri...
59/50Inapendeza sana
Kwamba 😊😊???59/50
Barikiwa sana 🙏Chamsingi tusifanyie watoto wa watu mambo ambayo hatutopenda watoto wetu wafanyiwe.
Utandawazi unaharibu sana...Kwamba 😊😊???