Ndoto na matamanio yangu ni kuona Binti yangu anakuwa Mama bora na Mlezi mzuri wa familia yenye

mtoto anajifunza zaidi kutoka mzazi kwa kuona, kama mkeo ni wife material na wewe ni husband material mtoto wako atatamani kuwa na familia yake kama ya kwenu,hizi kataa ndoa ni trauma ya malezi mabaya kwa wazazi wote.
 
Kama binti yako pia akijakua na ndoto zake, saitakuaje...??
 
Kama binti yako pia akijakua na ndoto zake, saitakuaje...??
Hakuna tatizo kuhusu ndoto zake, lakini lazima ajue purpose ya Kwanza ni kuwa Mama bora, endapo akipuuza basi ataenda na ulimwengu utamfunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…