Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Pole sana mpenzi kwa ndoto yako mm huwa nikiota baadhi ya vitu badae vinanitokea Mungu akufanyie wepesi tu na usiwe mbali na Mungu


yeeeeeesssssssssuuu!!!!!!! ashindwe shetani na mamlaka yake! mimi when I have doubts juu ya kitu fulani mara nyingi huwa kweli sasa kwa case kama hii ya ndoto mhmh! nimewaza sana make pia nikirudia rudia kuzungumzia kitu basi hapo Kuna kitu
 
Mindset tu. Japo ndoto zenye ujumbe hua na utaofauti sana na hiyo, so hamna haja ya kupata wasiwasi.
Kuna kipindi hata mimi napitiwa na usingizi unaota watu wanakoment tu kwenye mathread vimbwanga kama hivyo😀😀. Na mara nyingine inajirudia. Hasa kama unamawazo mengi na mastress lazima itokee coz nisehem ambayo najumuika na social life 50%
 
Hapo usikute mkuu smart911 ameshaanza zile za kulalamika kwe pm ya mtu ili akubaliwe ila pambana na huba lako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…