Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi huyo member unayemuota chochote kinaweza tokeainamaana gani hii ndoto??
Pole sana mpenzi kwa ndoto yako mm huwa nikiota baadhi ya vitu badae vinanitokea Mungu akufanyie wepesi tu na usiwe mbali na Mungu
Ashindwe kwa jina la Yesu uwe unasali sanayeeeeeesssssssssuuu!!!!!!! ashindwe shetani na mamlaka yake! mimi when I have doubts juu ya kitu fulani mara nyingi percent huwa kweli sasa kwa case kama hii ya ndoto mhmh! nimewaza sana
Hahahaha mamy wangu ebu acha uwoga kwanza pambana na penzi lako usikubali kirahisi rahisi hiyo hali itokee we mwanamke jiamini kuwa hakuna kama wewe kwa smartAisee Smart911 kama kweli nimepata wasiwasi aseeehhh sasa nitaanza kukufuatilia naenda kumuarifu mama ajue kabisaaaa nikikata mguu pale nyumbani asijiulize
Hivi hujaniota kweli..!!??Ngoja niwe msomaji wa waotaji wa members wa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NaanzajeHivi hujaniota kweli..!!??
Kheee... unataka nikufundishe namna ya kuanza kuniota..!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje
Hahaha ndoto toka lini ikafundishwa jinsi ya kuota ebu niache mm jamaniKheee... unataka nikufundishe namna ya kuanza kuniota..!!??
Naanzaje kukuacha kwa mfano.... Yaani mimi na wewe ni mpaka ndotoHahaha ndoto toka lini ikafundishwa jinsi ya kuota ebu niache mm jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanzaje kukuacha kwa mfano.... Yaani mimi na wewe ni mpaka ndoto