Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Aisee Smart911 kama kweli nimepata wasiwasi aseeehhh sasa nitaanza kukufuatilia naenda kumuarifu mama ajue kabisaaaa nikikata mguu pale nyumbani asijiulize

Usipoenda kumuangalia mama unataka anitoe roho... wakati mbele yako tulivyoenda kumuona akaniambia ole wangu kama unakumbuka... asikie nimekuudhi kwa lolote...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuu zako mambo gani na mm we mzee ndio unaniona leo kwa thread ya mahondaw
Ahahahahahahahahaaaa YAAANI haya ndo majibu pyuwaaaa ya MWANAMKE disenti wallah.... Mdogo mdogo tukimaliza mwaka, UTANIOTA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…