ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,017
Duniani kote matibabu ya bure hayapo. Yalikuwa hapa nchini tu. Kata bima mzee acha kupenda vya bure kama mwanamkeNdege zina muda wa masaa ya kuruka yakifika hata kama ni nzima lazima itolewe kwenye services. Sasa ni ndege gani ya atc iliyokuwa ikifanya safari hapa nchini ama nje ya nchi
Unasema hospitali ilikuwa bure. Hivi hujui hata hizo ndege watu walikuwa wanasafiri bure?Duniani kote matibabu ya bure hayapo. Yalikuwa hapa nchini tu. Kata bima mzee acha kupenda vya bure kama mwanamke
Niyeye nan ni yeye anayeamuru wasitolewe na niye kamweka gambo pale ar avuruge wapinzani na niyeye aayemtuma makondaKwani anayewakamata lema na tundu ni raisi?. Sasa naanza kujua uwezo wenu wa kuchanganua amambo ukoje
Ulisema hutukuwahi kuwa na ndege kwa hiyo baada ya miaka kadhaa na raisi wa miaka hiyo akinunua ndege sNdege zina muda wa masaa ya kuruka yakifika hata kama ni nzima lazima itolewe kwenye services. Sasa ni ndege gani ya atc iliyokuwa ikifanya safari hapa nchini ama nje ya nchi
Sasa anayefundisha darasani ni rais ama walimu. Yaan watu mnabisha bila logic. Wanafunzi wakifeli mnalaumu rais. Dont you see yourself a problem???Niyeye nan ni yeye anayeamuru wasitolewe na niye kamweka gambo pale ar avuruge wapinzani na niyeye aayemtuma makonda
Viwanda ataanza lini
Elimu ni aibu dar imeshika mkia... Bado una imani naye hivi ashaanza kutimiza ahadi zake?anatakuwa ajiuzulu
Hakupita 2015 2020 hayutaki cha pushap wala nini hatumpi kuraMagufuli ataendelea kuwa rais kwa miaka 10. Tena binafsi natamani hata awe rais kwa miaka 20 au zaidi maana Tanzania tulihitaji rais kwa ma huyu tokea miaka mingi ilopita. Kwa nyie wazembe msiotaka kula kwa jasho ndo mnamchukia. Ila sisi ambao tulitamani atawle hata kabla hajachukua form ya kugombea ndo tunampenda na tunamwombea asubuhi na usiku.
Mm sijasema tanzania haijawahi kununua ndegeUlisema hutukuwahi kuwa na ndege kwa hiyo baada ya miaka kadhaa na raisi wa miaka hiyo akinunua ndege s
Ndoto itimieee ya lemerhata kesho akiamua ajiuzuru itakuwa poa
Good sana mkuu. Chadema imeondoka na Dr Slaa...!!!!Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
KageraAmefanya yapi mazuri
Mamfumo yake na ndalichako huyaoni... MchewwwwwSasa anayefundisha darasani ni rais ama walimu. Yaan watu mnabisha bila logic. Wanafunzi wakifeli mnalaumu rais. Dont you see yourself a problem???
Labda wewe ndio unamkubaliKwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
Kafanya yapi mazuri?iv unajua nafasi za u DC zmeisha..?Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.