NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Kafanya yapi mazuri?iv unajua nafasi za u DC zmeisha..?
Nimeshayataja mazuri baadhi. Mkayasima. So kama kuna mabaya unayafaham rais amefanya na wewe utuambie. Na kama utashindwa basi wewe ni mnafiki una chuki binafsi na rais wetu mpendwa
 
Nimeshayataja mazuri baadhi. Mkayasima. So kama kuna mabaya unayafaham rais amefanya na wewe utuambie. Na kama utashindwa basi wewe ni mnafiki una chuki binafsi na rais wetu mpendwa
Hebu meza ugali Kwanza ndo unijibu vizuri ...nimekuuliza hujanijibu
 
Wazee wa Kariakoo walijaribu Kumpindua lakini wakashindwa naye akawafuta kwenye historia

Hans Pope ni Mzee wa Kariakoo pia?

Swali langu hujalijibu. Lisome tena:

Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
 
Chuki yuko wapi hapo? Nimeuliza swali wewe unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Jibu swali:

Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
 
nikweli mkuu!
 
unaota saa ngapi?hizo ndoto za alinacha? Huyu hadi 2025 mwendo mdundo. Acha achape kazi. Big up Mheshimiwa Rais na Awamu ya Tano kwa ujumla.
Tuko pamoja na Serikali
 
nataman hata kesho aondolewe iwe kwa namna yoyote ile
 
Hans Pope ni Mzee wa Kariakoo pia?

Swali langu hujalijibu. Lisome tena:

Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
Kupinduliwa na nani au kwa Njia gani Maana hata Mke wake anaweza kumpindua kwa bed...

Na time na kwa ajili ani haswa tujue vyanzo na chanzo maana nachofahamu mie Utawala wa Nyerere Jeshi la Kikoloni liliasi na lilipozuiliwa likabadilishwa na kuwa Jeshi la Wananchi. Na Mambo ya Mapinduzi yalitawala sana Miaka za Zamani kuliko sasa hivi Dunia inapigia kelele maana Hakuna Raisi africa anayependa wananchi wake sawa na watu wana tamaa sana pale wakipewa uongozi yaani huamini kama wayafanyayo ndio kwa ajili ya sifa au kukomoa!

Jeshi lisipotunzwa vyema huasi kusingizia nidhamu ni dhana tu. but Majizi yakikaa Jeshini huiba we na yakizuiliwa ndipo uasi hutokea
 
Tatizo kila ndoto mnadhani ni ndoto tu!!

Everything its spirtual first.....

Najua kuna walioelewa na watachukua hatua!
Sio kubeza tu kila kitu, chukueni hatua ya kuomba!

Na kwa uliyeota,kuna wakati Mungu anakusemesha kitu ili ukifanyie kazi kwa kuomba!

Na ukiona ndoto imejirudia zaidi ya mara moja ujue kuna msisitizo hapo wa ujumbe!

Soma ,Ayubu 33:14-18
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Na wewe takataka bovu umetokea wapi? Yaani hadi Nimetapika kusoma kinyesi ulichoandika.
 
Ikiwa MUNGU mwenyewe hajawahi kufanya jambo kiasi cha kumridhisha kila mtu. Magufuli ni nani hata apendwe na kila mtu?
Ipo siku wataelewa tu
 
Chuki yuko wapi hapo? Nimeuliza swali wewe unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Jibu swali:

Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?

Unauliza chuki yuko wapi, wakati wewe ndio nia yako dhahiri kumdhalailisha hayati Mwalimu J.K Nyerere, huo ndio ukweli. Suala la mapinduzi nimelieleza kuwa sio kipimo cha utawala bora, ina wezekana una kichwa kigumu kuelewa.
 
Wanaopinga bila facts wasome maandiko mkuu
 
Ha ha ha ha ha mwaka huuu kuna kila aina ya ndoto
Atakuja mwngne atasema ameota anatawala awamu tatu
 
ndoto za mchana huwa za uongo na za kishetani!

usirudie tena kuota.
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Angekubalika kuliko wote angepata 59% ya kura?
 
Nchi yetu ipo garage ina sukwa,fundi mkuu ni JPM,akimaliza tutaendesha ikiwa iko vuzuri,tusihofu kabisa=Kwa wazelendotu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…