NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Maguli ni kama kama mfano wa mwanafunzi ambaye amejitungia mwenyewe mtihani na kutaka asahihishiwe na apate yote Na mwalim akimrekebisha na kumwekea kosa .Meko anapanik na kuvunja meza za shule na viti.
 
Mkuu ndoto yako inaenda kutimia kwa namna nyingine. Huu uzi lazima tuje kuufufua.

Inaonekana mwaka 2017 watu waliandika nyuzi za kiutabiri sana na kuna kila dalili hizi nyuzi kutimia. Uzi wa kwanza kutimia ni wa Nyani Ngabu juu ya Lissu na Nina uhakika huu uzi wako pia unaenda kutimia kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu ingawa unaenda kutumia kwa Magufuli kuangushwa na upinzani ambae ni Tundu Lissu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hio ndoto unaota mchana au usiku ???
 
Ndoto yako inaishi mkuu..... Tundu Lissu ndiye rais ajaye
 
Atakufa nini? Maana watu hawampendi hatari
 
Magu anaunadi uongozi wake more agressive mean while Tundu lisu anaunadi ungozi wake more comfortable. Kiasi kwamba Meko anaonekana kama anastrugle na Tundu ndie anaenjoy strggle za Meko.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…