Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
mkuu TangataUnyakeWasu nakusalimu tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakufa nini? Maana watu hawampendi hatariWana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.
Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Huyu Makonda kakurupuka sana kujiunga ACT. Angetulia kwanza
UsimfokeeHuyu Makonda kakurupuka sana kujiunga ACT. Angetulia kwanza
kweli we kichwani ni empty kabisa, huoni kua hiyo ni photoshop?Huyu Makonda kakurupuka sana kujiunga ACT. Angetulia kwanza
Hamna kitu kama hicho hadhubutu kutoka huko alipoHuyu Makonda kakurupuka sana kujiunga ACT. Angetulia kwanza
Unaota mchana kweupe
Acha kunifokeaUnaota mchana kweupe
Nmeshangaa sanaMkuu vipi haujaota ndoto nyingine?
Duh!Mkuu ndoto yako inaenda kutimia kwa namna nyingine. Huu uzi lazima tuje kuufufua.
Inaonekana mwaka 2017 watu waliandika nyuzi za kiutabiri sana na kuna kila dalili hizi nyuzi kutimia. Uzi wa kwanza kutimia ni wa Nyani Ngabu juu ya Lissu na Nina uhakika huu uzi wako pia unaenda kutimia kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu ingawa unaenda kutumia kwa Magufuli kuangushwa na upinzani ambae ni Tundu Lissu