NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Samia hajachaguliwa hivyo sio mpango wa yoyote, she is there by default, kwangu ni rais wa mpito
Ni Mungu ndio huweka serikali za mataifa
Labda mungu wa Chato au Burundi.
Mungu ni Mmoja tuu,The One and Only!
Alifariki kwa atrial fibrillation , iliyochagizwa na complication za Covid -19 , alikuwa baba haambiliki licha ya kuwemo katika makundi hatarishi yanayoweza kushambuliwa na kupoteza maisha kirahisi kwa Covid -19[ makundi haya yalitajwa kabisa na wataalam] yeye alikuwa anafanya ziara na mikusanyiko huku akihamasisha watu wasivae barako akidai ndio zimebeba virusi.
Mtu akifariki kwa sababu yoyote ni ameitwa na Mungu!。
Sio kweli, huyu karithi kiti tu akisaidiwa na Mabeyo , wahuni kutoka Ruangwa, Karagwe na Kongwa walikuwa washampiga mama yenu goli la kisigino , Mungu haleti viongozi wananchi ndio wanaopiga kura huyo Mungu hapigi kura yoyote ingekuwa hivyo basi duniani kote basi Mungu ndio tungekuwa tubasubiri apige kura sisi tunapokea uongozi na watu wasingegombea na kunadi sera zao wapigiwe kura.
Mungu ndio kila kitu,ni Alfa na Omega!。
Ni haki yako kusema mitano tena , maana pia ni sehemu ya green pasture kwako , saa hizi unalamba tenda za kutosha na PR husumbuliwi influence kubwa uliyokuwa nayo toka utawala wa Ben na huu wa sasa unafanya unapepea
laiti ungalijua!。
P
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
hivi wewe uliyeleta hii ndoto bado mzima au byebye? Siku nyingine source ya ndoto zako usiiamini.
 
Magufuli ataendelea kuwa rais kwa miaka 10. Tena binafsi natamani hata awe rais kwa miaka 20 au zaidi maana Tanzania tulihitaji rais kwa ma huyu tokea miaka mingi ilopita. Kwa nyie wazembe msiotaka kula kwa jasho ndo mnamchukia. Ila sisi ambao tulitamani atawle hata kabla hajachukua form ya kugombea ndo tunampenda na tunamwombea asubuhi na usiku.
Vipi huko uliko mkuu!!
 
Ulimuona anafanya?
Kwani ni siri? Mambo yote yako kwenye kitabu cha Eric Kabendera.

Screenshot_20250218_145211_Parallel Space.jpg
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Mlijiañdaa kummaliza mkaanza kusingizia ndoto. Mliposhindwa kwenye ndoto mkasingizia umeme wa moyo.
 
Hizi nyuzi zinakwendaga wapi mbona zinaonekanaga mbeleni sana kwenye simu yangu?

Yaani unakuta uzi una miaka takribani sita nyuma lakini kwangu unajitokeza leo nashangaa
 
Back
Top Bottom