Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Na wamefanikiwa kwa asilimia 80
JWTZ mnakwama wapi,hamuoni wivu kijana mwenzenu Captain Ibrahim Traore alivyoikomboa nchi yake toka kwa wakoloni weusi?
Somehow you cant cheat always, you will caught.
Hivi kwanini huyu mtu asikamatwe kwa kauli zake za kuvunja amani na kuchochea machafuko ya siasa hapa nchini? Huyu ni mchochezi wa vurugu za siasa na si mpenda amani kama kilivyo chama chake cha CCM.
Nakubaliana na wewe 💯
bila mbambamba yoyote kutoka kwa kibaka na tapeli yeyote wa kisiasa nchini, uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, utafanyika kwa uhuru, haki, uwazi salama na amani kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu Uhuru 🐒
Hata hivyo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, jamii ambayo iliandaliwa kuto kuhoji
Hawawezi kutumia akili mnembaKwani bado Kuna mtu anaamini Kuna "uchaguzi"!