Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

At a point where changes are inevitable, any attempt to stop the required changes, is automatically an attempt to speed up the desired changes.

Ni swala la muda tu.
 
CCM ingeridhika tu hao wajinga kupindukia ambao tayari imewapata:

Tlaatlaah
Chiembe
Choicevariable
Mtoto wa shule
Mwashambwa

CCM hata ijitahidi vipi sidhani kama itaweza kuwapata wajinga wa kiwango cha juu kuwazidi au wanaofanana na hawa.
 
Huo ndo ukweli lakini jambo zuri saivi Watanzania thmekataa kuwa wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…