Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Tafsiri yake, kila nafsi itaonja mauti, ametangulia yeye na sisi tunafataAkitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota ndoto nafukuzwa na Simba,nilikimbia sana mbele nikaona mlango wa nyumba,mtu mmoja akiwa amevalia vazi jeupe akafungua mlango akaniashiria niingie kwenye ile nyumba ndio ikawa pona yangu". Mkewe akatahamaki kusikia ile ndoto akaitafakari sana lakini hakuichukulia serious,wiki iliyofuata Wakaelekea Morogoro,JPM akafungua soko la Kingalu,akalala pale na kesho yake JPM akaingia Dar na mwezi uliofuatia JPM akaaga Dunia.
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?
Baba yako alikufa kwa kosa gan?JPM ilikuwa ni lazima afe kwa mauaji aliyoyafanya. Na huyu mwanamke hachukui round, maana anaua.
Wewe vyeti feki ndo hutokufa?JPM ilikuwa ni lazima afe kwa mauaji aliyoyafanya. Na huyu mwanamke hachukui round, maana anaua.
Huyu hata kama akipora kura katika uchaguzi wa mwaka huu akatangazwa mshindi hatochukua raundi lazma afutike ndani ya miezi 6....JPM ilikuwa ni lazima afe kwa mauaji aliyoyafanya. Na huyu mwanamke hachukui round, maana anaua.
Rip jpmAkitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota ndoto nafukuzwa na Simba,nilikimbia sana mbele nikaona mlango wa nyumba,mtu mmoja akiwa amevalia vazi jeupe akafungua mlango akaniashiria niingie kwenye ile nyumba ndio ikawa pona yangu". Mkewe akatahamaki kusikia ile ndoto akaitafakari sana lakini hakuichukulia serious,wiki iliyofuata Wakaelekea Morogoro,JPM akafungua soko la Kingalu,akalala pale na kesho yake JPM akaingia Dar na mwezi uliofuatia JPM akaaga Dunia.
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?
Taarifa za Maghufuri Kuota Ndoto ambayo alimhadithia Mke wake tu...!Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota ndoto nafukuzwa na Simba,nilikimbia sana mbele nikaona mlango wa nyumba,mtu mmoja akiwa amevalia vazi jeupe akafungua mlango akaniashiria niingie kwenye ile nyumba ndio ikawa pona yangu". Mkewe akatahamaki kusikia ile ndoto akaitafakari sana lakini hakuichukulia serious,wiki iliyofuata Wakaelekea Morogoro,JPM akafungua soko la Kingalu,akalala pale na kesho yake JPM akaingia Dar na mwezi uliofuatia JPM akaaga Dunia.
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?
Kwenye ndoto mlango huashiria mambo matatu tu.MKE,RIZIKI NA KABURI.madhali alishamwona mtu mwenye nguo nyeupe ni dhahiri mlango uliashiria kifo.WADHANI MLANGO UTAFUNGUKA TENA?MBONA KUTUKUMBUSHA KATIKA ZAMA HIZI.Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota ndoto nafukuzwa na Simba,nilikimbia sana mbele nikaona mlango wa nyumba,mtu mmoja akiwa amevalia vazi jeupe akafungua mlango akaniashiria niingie kwenye ile nyumba ndio ikawa pona yangu". Mkewe akatahamaki kusikia ile ndoto akaitafakari sana lakini hakuichukulia serious,wiki iliyofuata Wakaelekea Morogoro,JPM akafungua soko la Kingalu,akalala pale na kesho yake JPM akaingia Dar na mwezi uliofuatia JPM akaaga Dunia.
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?