Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.

Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli.

Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

Mzigo umeishia kupunguzwa million mbili na nusu tu.

Kutoka hapa Mil 23.2 ushuru wa mwaka jana.


Kuja Mil 20.8 tu ushuru wa mwaka huu 2025.


Hii ndio ilikua dream car yangu ila kuwapa TRA Tanzania mil 20 sitakaa nikafanya ivo kwa kipato changu cha sasa.

Kila lakheri EV, tutaonana miaka ijayo.
 
EV safi sana aisee! Ukiondoa ile kadhaa ya kutopata sauti ya combustion engine, EV inafaa sana kwa siye wa ‘uchumi wa kati ya chini’. Less mechanical issues and less fluids mean less maintenance expenses!

Cheki hii ndiyo ‘engine compartment’ ya Polestar 2! Polestar 2 ni ya moto mno; relatively cheaper than Tesla Model 3.



Kama serikali ingeondoa kodi na tozo zote kwenye kuingizia EV, basi nami nitaunga tela kabisa.
 
Wenye mamlaka ndio hao hao wanaomiliki kampuni za mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…