Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
AsanteUngefanikiwa katika maisha yako ila huyo rafiki yako ndo ana kufanya usifanikwe angalia sana anachokushauri
na ya kutumbukia kwenye shimo refuuuu
Mkuu na ya kuota sarafu imekaaje!?Ndoto ya mafanikio ila kuna vikwazo vingi. Binadamu hana uwezo wa kupaa. Hivyo kuna kitu chema kinakuja ila kukifanikisha kunahitaji juhudi za ziada mno baharia 1,
Jr[emoji769]
mkuu na ya kuota sarafu imekaaje!?
Yaan Unaokota hapa unaenda hatua kidogo unaokota tena Ukikuta fundo la mchanga ukilifumua unakuta hela Yaan Unaweza tembea Barabara Nzima unaokota Hela tu [emoji23]Ukiwa umezishika?
Jr[emoji769]
Yaan Unaokota hapa unaenda hatua kidogo unaokota tena Ukikuta fundo la mchanga ukilifumua unakuta hela Yaan Unaweza tembea Barabara Nzima unaokota Hela tu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana Mshana JrNdoto ya mafanikio ila kuna vikwazo vingi. Binadamu hana uwezo wa kupaa. Hivyo kuna kitu chema kinakuja ila kukifanikisha kunahitaji juhudi za ziada mno baharia 1,
Jr[emoji769]