Ndoto ya kupaa na kuelea hewani huku unakatiza mitaa

Ndoto ya kupaa na kuelea hewani huku unakatiza mitaa

Ungefanikiwa katika maisha yako ila huyo rafiki yako ndo ana kufanya usifanikwe angalia sana anachokushauri
 
Hiyo ndoto ina maana kwamba una logwa japo yaonesha bado una nguvu kubwa ya kuwashinda hao jamaa ila kumbuka nao wanajaribu kila dawa ukiona umeacha kuota hivyo jua juju lisha kupata na si muda mambo yataenda kombo.
 
Mafungu ya neema na kubarikiwa lakini changamoto si haba kwakuwa katika hali ya kawaida ni ngumu mno kuokota pesa kwa mafungu
Yaan Unaokota hapa unaenda hatua kidogo unaokota tena Ukikuta fundo la mchanga ukilifumua unakuta hela Yaan Unaweza tembea Barabara Nzima unaokota Hela tu [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
baharia 1,
Me pia ndoto hizo hunitokea katika kumbukumbu zangu ni zaidi ya 10 utotoni ndio zaidi ya nane, na nilikuwa naenjoy sana na ndio katika ndoto zangu ambazo huwa nazikumbuka haswa... ila utotoni nilikuwa naota nakimbizwa na kitu cha hatari ndio usalama wangu ni kupaa juu na ikifikia nimeshindwa kupaa na hatari inanifikia basi huamka hapo hapo mara moja, hizo za watu kushangaa nimeota ukubwani.
 
Ndoto hizi raha mnooo.

Yaani mimi kila nikiota hatari, kuuwawa kinachonisaidia huwa naishia kupaa. Nimepaa sana ndotoni hasa tangu vyuma vianze kukaza awamu hii.

Hapa sitaki uganga wala unajimu, wala chamaana huwa nataka zibaki hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom