Ndoto ya mapenzi mazito kati yangu na Valentine inaninyima usingizi

Mimi niitie sangara,sato,gogogo, nembe na furu...hao wengine kama mumi na kamongo sigusi walahi
hata mimi kamongo hapana aisee... Niliwahi kwenda musoma kule aisee jamaa wanatafuna kamongo balaa
 
Hizo sio ndoto ni njozi tu ila umeamua kufikisha ujumbe kwa style hiyo basi poa
mkuu sikufikisha ujumbe wowote na kwastaili yoyote lakini nlichokisema hapa ni kweli.. Ndoto ndoto ndoto na sio njozi.. Ngoja aje mshana jr ili anidadavulie
 
kuweni na adabu..... @'Valentina' ni wewe mpenzi wangu unaee zungumzwa hapa!!?
 

Ngoja nijiandae kujichukulia binti wa kisukuma,we endelea kuota mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…