Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,609
Hapo siji kwakweli na miguu yake mirefu kama bingobingo ... Mmmmh hapanamimi ndio nampenda kuliko samaki yeyote.. Njoo nikufundishe unywaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo siji kwakweli na miguu yake mirefu kama bingobingo ... Mmmmh hapanamimi ndio nampenda kuliko samaki yeyote.. Njoo nikufundishe unywaji
Sijawahi kula hayo mavitu naonaga tu" sura yake tu inanitishakaribu supu ya pweza hapa feri mkuu
Mimi niitie sangara,sato,gogogo, nembe na furu...hao wengine kama mumi na kamongo sigusi walahinjoo upate Kaa basi kama pweza na ngisi huwataki
Siku hizi sizionioni .... Sizipendijehata mimi kamongo hapana aisee... Niliwahi kwenda musoma kule aisee jamaa wanatafuna kamongo balaa
We kunywa supu yapweza ukakojoe kitandani sijamuona kokote huyo binti..mbona ile ina sura mbaya lakini mnapigaga deki? Ukionja supu yake hutaiacha kamwe.. Vipi Valentina hujamuona huko?
Wakuu
nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine.
Kinachonishangaza ndoto Hii huwa inajirudia kila pale ninapopitiwa na Usingizi hata kama ni Asubuhi...
mshana jr hembu nidadavulie hii ndoto ili nijue kama valentine atakuwa Wangu ama ni ndoto tu?
Nawasilisha kwenu
Kashatangulia mbele ya haki[emoji24]Valentina bahati hiyo changamka