Ndoto ya mke wangu imepunguza upendo na amani kwenye nyumba yetu

Njoo Ufanyiwe maombi, njoo uombewe, njoo ufanyiwe maombi........
 
Hyo ilikua kaz ya hayat yahya HUSEIN
huwa sijishughulishi kutafsiri ndoto, muhimu ni kufanya maombi kwa imani zenu. mumkemee shetani na kuharibu nguvu zake, na kurudisha uwepo wa Mungu kati yenu. mnaweza kuongea na kiongozi wenu wa dini pia kwa sala na ushauri,
pole sana
 
Uongo si kazi, ndugu yangu, huwa nakuona kama mganga fulani hivi wa kienyeji, sijui kilinge chako ki mahali gani?
Unaonaje na wewe ukatunga uongo wako kumjibu huyu jamaa ana matatizo ya mke wake amekuwa Mgonjwa hebu na wewe mpe uongo wako ili umpate kumsaidia usiwe mwepesi tu kujibu Uongo si kazi weka na wewe uongo wako ili jamaa mke wake apone. 😡
 

Pole sana ndugu yangu,ndo mapito hayo kwenye ndoa.Soma ujumbe huu utakusaidia
Je! Unaamini ya kuwa Mungu anaweza kusema na watu kwa njia ya ndoto? Najua ni rahisi kuamini kuwa Mungu alisema na watu zamani kwa njia ya ndoto kama tunavyosoma katika Biblia; lakini je! Unaamini ya kuwa Mungu anasema na watu kwa njia ya ndoto siku hizi?
Najua kuna watu wanaoamini na wengine hawaamini. Sijui wewe uko upande gani.
Lakini nataka nikueleze hivi; Kufuatana na Biblia kuna ndoto za aina tatu;
(a) Kuna ndoto kutoka kwa Mungu. Soma kitabu cha Hesabu 12:6, na Yoeli 2:28.
(b) Kuna ndoto zinakuja kwa sababu ya shughuli nyingi. Soma kitabu cha Mhubiri 5:3.
(c) Kuna ndoto za uongo zinazotoka kwa shetani aliye baba wa uongo. Soma kitabu cha Yeremia 23:52 na Yohana 8:44.
Unaweza kutofautisha kwa namna gani tofauti iliyopo kati ya hizi ndoto? Na utajuaje kuwa ndoto uliyoiota imetoka kwa Mungu? Kila ndoto lazima ipimwe na Neno la Mungu. Ikiwa imetoka kwa Mungu, ni lazima utakuta neno la Mungu ambalo linaeleza maana yake. Mara nyingine ndoto toka kwa Mungu huja kama fumbo; lakini Roho Mtakatifu ajuaye kuyafumbua mafumbo ya Mungu (1 Wakorintho 2:10,11), atalifunua fumbo hilo kwa kukuonyesha neno la Mungu linalofanana na ndoto hiyo.
Si busara kuzikubali ndoto zote unazoota bila ya kuzipima katika Neno la Mungu. Na pia si busara kuzikataa ndoto zote bila kuzipima katika Neno la Mungu.
 
Dah! pole sana mkuu! sali X 7 baba!
 
Nilipata kusikia mahali fulani kwamba eti ukiota nyoka kwa namna yeyote ile ni dalili ya ujio wa fitna kwa maana nyoka ni alama ya fitna.Sijui kama ni kweli.
 
mkeo anamatatizo yake. ndoto kaota yeye sasa anakununia wewe ili iweje? nakushauri usiwe na wasiwasi. ndoto ni ndoto tu. kama wewe hujawai nuia jambo baya kwa mkeo basi usiwe na wasiwasi. haya mambo ni magumu. kwamfano unauhakika gani kuwa aliota hiyo ndoto/ asije akawa anakitu anachokipika yeye, sisemi umhisi vibaya yeye bali nataka kusema achana na ndoto.
ni kama angeota amekufa, angemnunia nani?, angeota amekusaliti angemnunia nani? . mwambie mkeo asiabudu ndoto na asipime upendo wako kwa ndoto, atabomoa nyumba yenu. kama anakataa kusali utashangaa bila ya wewe kujua amekwenda kwa "fundi". na hapo ndo .... . sisemi tena
 
Pole sn mkuu hilo si la kuliwacha tu hivi2. Mfanyie dawa, kusomewa au kuombewa kwa mujibu wa dini yenu. Mambo ya ajabu yapo, na mtu yyt yanaweza mpata. Usije dhani hio hali itabadilka tu yenyewe pasi na kushughulikiwa.
 
mwambie mkeo aache kulia mana hata akilia haitasaidia kitu, wewe pamoja na yeye ombeni mkiwa na imani kwamba mtashina majaribu ya shetani na kweli mtashinda,mi nilishakumbana na ndoto za nyoka mara 3 na haipiti siku 2 bila kukutana na nyoka tena eneo lililile nililoota, SHETANI ANAMBINU NYINGI SANA
 

Bwana akubariki sana mchungaji,neno lako limenijenga nami pia. Ubarikiwe sana.
 

hehehe hii ndo jf bhana
 

aisee uko dipu
 
Hakuna cha ndoto, pepo wala upuuzi wowote,

Huyo mwanamke anahitaji mapumziko..Ya mwili na roho....Mwache kwanza...ndoto na mawenge wenge yataisha yenyewe!!

Ningekuwa mie, ningejaribu kujiuliza kama kila kitu anachosema mwenzi wangu ni cha kweli....kutafuta visingizio kwenye mahusiano ni jambo la kawaida sana...Ila inakera unapojikuta unamsaidia mwenzio kubeba mzigo ambao purely ni wake na hao waliomsababishia huo msongo wa mawazo!!
 
Ndoto si uhalisia. inabidi ukae nae uongee nae na kumwambia kuwa unaweza ota lakini unachokiota hakitokei. Lakini pia inabidi uangalie je, kabla ya yeye kuota hivyo mahusiano yenu yamekuwa ya vurugu au la. Ukiwa unaongea nae hayo basi waweza kumchumu kidogo na hata kupiga mechi kabisa kudhihirisha kuwa hicho kitu hakiopo na wewe unampenda yeye na ni yeye tu. langu ni hilo
 

asante kwa kukopi kutoka kwa MWAKASEGE na kupesti JF
 
To see a snake or be bitten by one in your dream signifies hidden fears and worries that are threatening you. Your dream may be alerting you to something in your waking life that you are not aware of or that has not yet surfaced. Alternatively, the snake may be seen as phallic and thus symbolize temptation, dangerous and forbidden sexuality. In particular, to see a snake on your bed suggests that you are feeling sexually overpowered or sexually threatened. You may be inexperienced, nervous or just unable to keep up. If you are afraid of the snake, then it signifies your fears of sex, intimacy or commitment. The snake may also refer to a person around you who is callous, ruthless, and can't be trusted. As a positive symbol, snakes represent healing, transformation, knowledge and wisdom. It is indicative of self-renewal and positive change.
 


Nimehisi kama Shekhe Yahya amerudi vile lol!
 
mi ndo assistant dreams muaguaji. unipm majogoo 3 ya kijani na mbuzi dume wa bluu (b4 krismas) manake ndoto inayokuja ni ya wewe kugeuka kitunguu swaumu kupikiwa pilau la krismas:eyebrows: usipate 😛hoto:
Nita ku PM, nataka unitangenezee dawa ya kumng'oa Tenga TFF, naona ofisi isha mshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…