Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

Hiyo dini ya muarabu ni kansa kabisa, yaani hamna hata uzalendo kabisa, Mwafrika tena Mtanganyika mwenzenu anachinjwa mnakenua na kusema alikua jasusi...
Dini ya mtoto wa beki tatu hajiri na mtumwa wa ibilisi mudi imekuwa laana tupu kwa ulimwengu.
 
Comments za mashabiki wa hamas zinasikitisha sana kushabikia kifo cha mtanzania mwenzao
 
Inasikitisha na kuumiza sana.lakini tujiulize palestina ingekua huru leo hii joshua angekutana na zahma kama hii? Tusiangalie tulipoangukia bali tulipojikwaa. Poleni sana familia ya joshua kwa sasa israeli siyo pahala salama kupeleka vijana.
Itakufukia tu wala usijali muda utasema
 
Chanzo kikuu cha vifo vya hao Watanzania wenzetu, ni hao Mayahudi kushindwa kuwahakikishia usalama wao.

Ni watu wachache pekee ndiyo watanielewa. Haiwezekani nchi inayosifiwa kwa intelijensia duniani, ivamiwe na wanamgambo saa 12 asubuhi! Halafu wanamgambo hao, waue watu na kuwachukua wengine mateka; huku vyombo vya dola vikishindwa kuwasaidia.

Uzembe wa hali ya juu kabisa!! Halafu leo wanaona bora waishambulie Gaza kwa mabomu na kuua maelfu ya raia wasio na hatia!!
hivi hawa wamalawi ndio walipelekwa kama chambo ama
 

Attachments

  • VIDEO-2023-11-29-10-00-15.mp4
    8.1 MB
Chanzo kikuu cha vifo vya hao Watanzania wenzetu, ni hao Mayahudi kushindwa kuwahakikishia usalama wao.

Ni watu wachache pekee ndiyo watanielewa. Haiwezekani nchi inayosifiwa kwa intelijensia duniani, ivamiwe na wanamgambo saa 12 asubuhi! Halafu wanamgambo hao, waue watu na kuwachukua wengine mateka; huku vyombo vya dola vikishindwa kuwasaidia.

Uzembe wa hali ya juu kabisa!! Halafu leo wanaona bora waishambulie Gaza kwa mabomu na kuua maelfu ya raia wasio na hatia!!
Uislamu wa Tanzania una shida

Mfano waarabu waislamu Sudani kaskazini wanaua waislamu waafrika weusi kule Dafur lakini huwezi kusikia muislamu wa Tanzania mweusi akilaani hayo mauaji na huwezi kusikia wapalestina au nchi za kiarabu za kiislamu zikilaani hayo mauaji ya waafrika Dafur lakini kukitokea Mwarabu wa Palestina,Iraki,nk anauawa kelele misikiti yote ya waswahili Tanzania kulaani Mwarabu kuuawa na maabdamano juu kuonyesha mshikamamo na waarabu
nategemea utakuwa unalaani izrael kwa mauji ama unaunga mkono mauaji yanayofanywa na izrael
 
Dini ya mtoto wa beki tatu hajiri na mtumwa wa ibilisi mudi imekuwa laana tupu kwa ulimwengu.
naimani kiongozi wenu wa imani anawafahamu vizuri sana ndio maana majuzi tu akawapa baraka mbarikiwa
 
Hivi Moderator mna siri gani uongozi wa jamiiforum na wasio waislamu? Kwanini mimi kila nnapoleta taarifa mnazihamisha, au mnazifuta kabisa! Huyu MK254 n.k mada zao hamzigusi, kulikoni! Mnakera sana, na tumeshawashtukia, tunawaangalia tu.

Au jamiiforum unatumika na waisrael na wamarekani ndio maana mnatufanyia hivyo!
Hiyo ndo kazi kubwa ya waisrael usidhani wanapendwa sana, jamaa wana machine za propaganda na wanamwaga pesa haswa duniani
 
Kilimo
Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine.
Mashabiki wa hayo magaidi kisa dini mkae mkijua hata shetani mwenyewe anawashangaa, mumemzidi ukatili.
===================

Joshua Mollel (Courtesy)
Joshua Mollel (Courtesy)
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.
Fellow Tanzanian Clemence Mtenga, who was originally thought to be held hostage following the October 7 attack, was declared dead on November 18, and his body was sent back to Tanzania for burial.

Tanzania’s Foreign Minister January Makamba said in a statement that Mollel was “immediately killed after being kidnapped by Hamas,” according to information from Israeli authorities, adding that his father, Loitu Mollel, will be traveling to Israel with a government official to receive more information.

Ezekiel Kitiku, a fellow Tanzanian intern, was living and working with Mtenga on Kibbutz Nir Oz in the dairy farm. He told BBC that as the air raid sirens sounded on October 7 and he ran for shelter, he texted both Mtenga and Mollel. “They told me that there were so many rockets coming from Gaza — and that they were going to the shelters too,” he said. But a few hours later, they were no longer answering.

Joshua — the oldest of five children — had finished a diploma in agriculture studies from a college in the eastern Tanzanian city of Morogoro and then left for Israel in September — his first time traveling out of Tanzania.

He was working in the Kibbutz Nahal Oz dairy farm, and was excited to learn more about farming, wanted to eventually open his own agricultural business back home.

A few weeks after the attack, his father spoke to BBC, telling them he last spoke to Joshua on October 5, two days before the Hamas onslaught.

“I said, ‘Be on your best behavior because you’re somewhere new, and make the most of the internship you’re there to do,'” he recounted.

“My son wants to make his fortune in agribusiness and become one of Tanzania’s most successful farmers,” his father said at the time, saying they were hoping he would return home from his studies to build a successful business.

“We can’t eat or sleep — when I go to the market people ask me why I’m losing so much weight,” said his father weeks after the attack.

He told AFP in late October, “I feel bad all the time because my son is not a warrior. He just went for training but is now in trouble.”

He described his son as “polite, obedient and serious” about his work.

Louito told the BBC that Joshua’s younger siblings “ask me every morning and night: ‘Dad, we want to talk to our brother.'”
Kilimo alienda kusomea Jangwani Gaza? Akaacha Morogoro?

R.I.P Mwamba
 
Hiyo dini ya muarabu ni kansa kabisa, yaani hamna hata uzalendo kabisa, Mwafrika tena Mtanganyika mwenzenu anachinjwa mnakenua na kusema alikua jasusi...
Serikali yako baada ya Taarifa za Kutekwa ilichukua Hatua gani?

Mpaka sasa Tamkoliko wapi?
Africa kuna shida kubwa sana
 
Kilimo

Kilimo alienda kusomea Jangwani Gaza? Akaacha Morogoro?

R.I.P Mwamba

Kilimo cha wale kinawalisha nyie msio jangwani, maana wanatumia akili hivyo inabidi kwenda kusomea huko, wavaa makobaz hamuwezi kuelewa hili.
 
Ni msiba mkubwa kwetu wote na zaidi kwa wazazi.

Hata hivyo bado uwepo wa hawa vijana huko Israel ni giza.

Pengine hatutakaa tuujue ukweli milele
 
Back
Top Bottom