Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

Mnaendelea kuwalisha sumu wana familia dhidi ya waislamu, ila ukweli unajulikana.

Hamas endeleeni kuwapa kichapo hao magaidi
Hivi kweli hofu dhidi ya dini (ideology)ambayo ina maandiko ya kuangamiza watu wasioamini ni kitu cha ajabu? Mimi sichukii waislamu, natamani wangekuwa kama Bhuddist, Hindu etc. Unaabudu na kuendelea na maisha. Na kwa bahati mbaya hayo maandiko yantekelezwa ndo maana kila siku ya Mungu Nigeria wakristo wanauawa. I believe Islam needs reform a serious one
 
Andiko gani hilo la kuuwa watu wasio na hatia? Hebu weka hapa andiko hilo!

Unatamani tungekua Buddhist, hindu etc 😱 wewe ni wakuonewa huruma, upo katika giza.

Haya nasubiri hilo andiko!
 
Uislamu wa Tanzania una shida

Mfano waarabu waislamu Sudani kaskazini wanaua waislamu waafrika weusi kule Dafur lakini huwezi kusikia muislamu wa Tanzania mweusi akilaani hayo mauaji na huwezi kusikia wapalestina au nchi za kiarabu za kiislamu zikilaani hayo mauaji ya waafrika Dafur lakini kukitokea Mwarabu wa Palestina,Iraki,nk anauawa kelele misikiti yote ya waswahili Tanzania kulaani Mwarabu kuuawa na maabdamano juu kuonyesha mshikamamo na waarabu
Hii ni kawaida in Islam. The Umma unapewa priority kuliko mtu yeyote mwingine especially akiuawa au akionewa na kuffar. Na akiuawa kuffar it's fair game. Joshua Mollel angekuwa Rashid kungekuwa na cheche nyingi sana. Pia hawaruhusiwi kuichafua deen yao au kunyoshea kidole wenzao. It's very cultish. Ndo maana wakiuawa na wenzao Yemen, Sudan, Syria kunakuwa kimya. Ni ideology tu
 
Andiko gani hilo la kuuwa watu wasio na hatia? Hebu weka hapa andiko hilo!

Unatamani tungekua Buddhist, hindu etc 😱 wewe ni wakuonewa huruma, upo katika giza.

Haya nasubiri hilo andiko!
Nikikuletea hapa utaanza kuniambia kuwa sisi kuffars tuna hatia ya kutomuamini Allah (swt) ndio maana mimi nilisema kuua watu wasioamini.....wewe ukaja kunijibu wasio na hatia. My point ni kuhusu watu wasio amini. Hapo tu kwenye comment ulizungumza watu wanawajaza familia chuki dhidi ya waislam then two minutes later umemuita mwenzako kafir. It's not okay na kama hulioni hilo I feel sorry for you. Haya andiko hili hapa Quran 9:29

Fight against those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture, until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Good day
 
Hivi kweli hofu dhidi ya dini (ideology)ambayo ina maandiko ya kuangamiza watu wasioamini ni kitu cha ajabu? Mimi sichukii waislamu, natamani wangekuwa kama Bhuddist, Hindu etc. Unaabudu na kuendelea na maisha. Na kwa bahati mbaya hayo maandiko yantekelezwa ndo maana kila siku ya Mungu Nigeria wakristo wanauawa. I believe Islam needs reform a serious one
Endelea kutamani hivyohvyo ndugu mchangiaji
Kwenye suala lisilo wezekanika basi nihilo
Uislam upo wazi ninyi muna dini yenu na sisi tuna dini yetu
 
Hii ni kawaida in Islam. The Umma unapewa priority kuliko mtu yeyote mwingine especially akiuawa au akionewa na kuffar. Na akiuawa kuffar it's fair game. Joshua Mollel angekuwa Rashid kungekuwa na cheche nyingi sana. Pia hawaruhusiwi kuichafua deen yao au kunyoshea kidole wenzao. It's very cultish. Ndo maana wakiuawa na wenzao Yemen, Sudan, Syria kunakuwa kimya. Ni ideology tu
The umma ndio nini hii?
 
Nikikuletea hapa utaanza kuniambia kuwa sisi kuffars tuna hatia ya kutomuamini Allah (swt) ndio maana mimi nilisema kuua watu wasioamini.....wewe ukaja kunijibu wasio na hatia. My point ni kuhusu watu wasio amini. Hapo tu kwenye comment ulizungumza watu wanawajaza familia chuki dhidi ya waislam then two minutes later umemuita mwenzako kafir. It's not okay na kama hulioni hilo I feel sorry for you. Haya andiko hili hapa Quran 9:29

Fight against those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture, until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Good day

Naomba hiyo aya inayohalalisha kuuwa wasio amini Uisilamu!
 
dah naumia sn....dogo kazulumika kingono mno na hao makobaz hamas, yapigwe tu!
 
Back
Top Bottom