Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

Hiyo dini ya muarabu ni kansa kabisa, yaani hamna hata uzalendo kabisa, Mwafrika tena Mtanganyika mwenzenu anachinjwa mnakenua na kusema alikua jasusi...
Dini ya mtoto wa beki tatu hajiri na mtumwa wa ibilisi mudi imekuwa laana tupu kwa ulimwengu.
 
Comments za mashabiki wa hamas zinasikitisha sana kushabikia kifo cha mtanzania mwenzao
 
Inasikitisha na kuumiza sana.lakini tujiulize palestina ingekua huru leo hii joshua angekutana na zahma kama hii? Tusiangalie tulipoangukia bali tulipojikwaa. Poleni sana familia ya joshua kwa sasa israeli siyo pahala salama kupeleka vijana.
Itakufukia tu wala usijali muda utasema
 
hivi hawa wamalawi ndio walipelekwa kama chambo ama
 

Attachments

  • VIDEO-2023-11-29-10-00-15.mp4
    8.1 MB
nategemea utakuwa unalaani izrael kwa mauji ama unaunga mkono mauaji yanayofanywa na izrael
 
Dini ya mtoto wa beki tatu hajiri na mtumwa wa ibilisi mudi imekuwa laana tupu kwa ulimwengu.
naimani kiongozi wenu wa imani anawafahamu vizuri sana ndio maana majuzi tu akawapa baraka mbarikiwa
 
Hiyo ndo kazi kubwa ya waisrael usidhani wanapendwa sana, jamaa wana machine za propaganda na wanamwaga pesa haswa duniani
 
Kilimo
Kilimo alienda kusomea Jangwani Gaza? Akaacha Morogoro?

R.I.P Mwamba
 
Hiyo dini ya muarabu ni kansa kabisa, yaani hamna hata uzalendo kabisa, Mwafrika tena Mtanganyika mwenzenu anachinjwa mnakenua na kusema alikua jasusi...
Serikali yako baada ya Taarifa za Kutekwa ilichukua Hatua gani?

Mpaka sasa Tamkoliko wapi?
Africa kuna shida kubwa sana
 
Kilimo

Kilimo alienda kusomea Jangwani Gaza? Akaacha Morogoro?

R.I.P Mwamba

Kilimo cha wale kinawalisha nyie msio jangwani, maana wanatumia akili hivyo inabidi kwenda kusomea huko, wavaa makobaz hamuwezi kuelewa hili.
 
Ni msiba mkubwa kwetu wote na zaidi kwa wazazi.

Hata hivyo bado uwepo wa hawa vijana huko Israel ni giza.

Pengine hatutakaa tuujue ukweli milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…