jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 407
- 768
Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni. wachapakazi, mademu wakali, meno ya kipekee, na mengine mengi.
Karibuni Sana Geneva of Africa.
Karibuni Sana Geneva of Africa.