Devotha mosha
Member
- Mar 10, 2018
- 5
- 5
Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia, natafuta mume mcha Mungu hata awe doctor au yeyote. Mimi najihusisha na mambo ya kisheria, mimi ni mchaga mrefu saizi ya kati, umri wangu ni miaka 26 na ni maji ya kunde, ni mkristo na niko seriously.
Kama uko tayari na serious plz inbox me.
Kama uko tayari na serious plz inbox me.