Ndoto yangu kuwa na mwanaume doctor haijatimia

Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia.natafuta mume mchamungu hata awe doctor au yeyote. Mim najihusisha na mambo ya kisheria..!mm ni mchaga mrefu saiz ya kati umri wangu ni miaka 26 na nimaji ya kunde.ni mkristo .na Niko seriously.kama uko tayar na serious plz inbox me..
Unataka dokta kwani una magonjwa sugu?Au unataka dokta wa fani gani hasa? Mimi dokta wa mapenzi,umenipenda?
 
Naona umejoin JF leo mahususi kwa ajili ya kuja kutafuta mume........kumbe JF ni kubwa kiasi hiki kuwa waweza pata mume?? Duuh karibu na hongera mama!!

Majitu mengine siju yakoje!!! Kuna shida gani kama amejoin leo leo kwa ajili ya kutafuta mume??? Wewe ulitaka ajoin kwa ajili ya kitu gani? Nyie ndo wale ambao mnashinda humu siku nzima hamna kazi ya kufanya sasa ukiona mwenzako amejoin one-time halafu anaenda straight kwenye point unaanza kutoa mimacho hiyooo....aibu yako
 
Acha kulipuka weye. Una frustration s zako?Kitu kidogo umebwatuuuukaaa!Angekuibia hela je?
 
Alafu maajabu ya mungu bwana, yaani mtu ukijiwekea ndoto fulani za maisha mfano kama hizi za kuolewa na mtu mwenye wadhifa fulani au mzungu, Basi Mungu ndio anakuweka karibu nao kweli kweli , sasa utashangaa utakacho kiona kwa watu wa aina hiyo,

Unaweza kuona tabia zao sio nzuri , basi kimya kimya unaamua ku switch upange mwingine, huku sasa hutachagua mtu yukoje, bali utajali kupata mtu mwenye upendo tu,

Wengi tumepitia haya matamanio bila kujua nini tunastahili kupata,

Ukubwa raha sana
 
Hongera. Hujawa na vigezo kama vya wale wenzio ambao dah wanataka 100% perfect man. Mungu akutimizie hitaji lako. Kuwa makini watu wengi si wakweli. Wish you all the best
 
Doctor ni kizungu, Kiswahili mganga, ningekushauri uangalie hata mganga wa jadi.
 
Alafu maajabu ya mungu bwana, yaani mtu ukijiwekea ndoto fulani za maisha mfano kama hizi za kuolewa na mtu mwenye wadhifa fulani au mzungu, Basi Mungu ndio anakuweka karibu nao kweli kweli , sasa utashangaa utakacho kiona kwa watu wa aina hiyo,

Unaweza kuona tabia zao sio nzuri , basi kimya kimya unaamua ku switch upange mwingine, huku sasa hutachagua mtu yukoje, bali utajali kupata mtu mwenye upendo tu,

Wengi tumepitia haya matamanio bila kujua nini tunastahili kupata,

Ukubwa raha sana
Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom