Ndoto yangu kuwa na mwanaume doctor haijatimia

Ndoto yangu kuwa na mwanaume doctor haijatimia

Duuh nasisi tumekumbukwa leo.. upo tayari kuvumilia nikiitwa call night??
 
unatafuta mume ama career, chagua moja upate msaada wa haraka
 
Dah....kiasili mwanaume ndiyo huchagua....ukweli mchungu[emoji13]
 
Ndoto yako ilikuwa ni kumiliki hospitali dada. Tatizo linaanzia hapo unapochagua vitu visivyowezekana, ona sasa hivi umeamua yoyote na masharti kidogo, huo umri ukifika 30 basi utakuja na kigezo kimoja tu "Awe mwanaume" baaasi.
Dada muombe akupe mume, Mungu anajua mahitaji yetu kuliko sisi, hebu mwambie Mungu halafu Mungu akukutanishe na mhusika. Na kwa kuchagua kwako inawezekana hata aliyeletwa na Mungu ulimkataa kwa sababu sio Doctor.
 
Back
Top Bottom