Devotha mosha
Member
- Mar 10, 2018
- 5
- 5
Hamchelewi kufunua vifungu ili kupata vifungu vya sexual harrassment.Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia.natafuta mume mchamungu hata awe doctor au yeyote. Mim najihusisha na mambo ya kisheria..!mm ni mchaga mrefu saiz ya kati umri wangu ni miaka 26 na nimaji ya kunde.ni mkristo .na Niko seriously.kama uko tayar na serious plz inbox me..
AsanteMungu akupe hitaji la moyo wako.
AsanteKila la heri mwanasheria...
Mungu akutimizie ndoto yako mamy
Devota Unajiusisha na mambo ya sheria kivip? Ww ni wakili,? Mwanasheria hakimu ,au nan?Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia.natafuta mume mchamungu hata awe doctor au yeyote. Mim najihusisha na mambo ya kisheria..!mm ni mchaga mrefu saiz ya kati umri wangu ni miaka 26 na nimaji ya kunde.ni mkristo .na Niko seriously.kama uko tayar na serious plz inbox me..
Niko hapa dokta wa mifugoNdoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia.natafuta mume mchamungu hata awe doctor au yeyote. Mim najihusisha na mambo ya kisheria..!mm ni mchaga mrefu saiz ya kati umri wangu ni miaka 26 na nimaji ya kunde.ni mkristo .na Niko seriously.kama uko tayar na serious plz inbox me..
"....mambo ya kisheria" ndo mambo gani hayo Manka??Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia.natafuta mume mchamungu hata awe doctor au yeyote. Mim najihusisha na mambo ya kisheria..!mm ni mchaga mrefu saiz ya kati umri wangu ni miaka 26 na nimaji ya kunde.ni mkristo .na Niko seriously.kama uko tayar na serious plz inbox me..
Huyo mwanamke simple ndo yukoje?Ndoto yangu ni kuoa mwanamke simple.
[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali.
Ila naifikiria mbinu ya mahondaw na Smart911 inaweza kuzaa matunda pia.
Popote ukiona mtuifuano ujue hivyo
Lakini tabia ya kutifuana sina na huwa siwezi kabisa, hapo pia ni changamoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile mbinu kiboko.
Nitaanza kukufuatilia kwa umakini sana.