Ndoto yangu ya kuja kumuoa Mfalme Zumaridi imefikia tamati jana. Ni huzuni

Bado nafasi ipo tena kama upo Rock city aaaah mbona chap iseni tu hapo unamtimbia.
 
Unataka kuoa Mungu wa watu, afu wafuasi wake watabaki kumuabudu nani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiteketea ndani kwa ndani kila nilipokuwa nikiona video za Mfalme Zumaridi na kujikuta nikilihitaji penzi lake tamu.
Ujue ungempata angekunasa kote unakochepuka
 
umeuliza ameolewa na nani?
 
weka kwanza uno lake hapa.
 
HAHA HAHA wewe mwanaume rijali mwenye akili, unawezaje kujiita mama? Au hicho kiungo ni chombo cha starehe cha mashababi?
Wewe ni mtu mwenye roho mbaya na wivu huku ukiwa huna akili kabisa. Watu maskini wa akili na mali huwa mnawaza ngono muda wote. Comment yako ni ushahidi usiotia shaka.
 
Hebu weka picha ya hilo uno lake kwanza ili tukupe ushauri vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…