Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Bandari ya Bagamoyo tuijenge wenyewe kama nchi. Cha muhimu si lazima yote kwa wakati mmoja. Wataalamu wetu wai-package ili ijengwe kwa useful phases.
 
That simply means Maza pia ameshituka kuusaini ule mkataba wa kijinga wa JK!
Thank mwamba JPM (Rip) kwa kutufumbua macho juu ya kile fisadi mtangulizi wako alitaka kutufanyia. Tutakukumbuka daima kwa upendo na uzalendo wako kwa nchi yetu.
 
A long time coming….

Hayo ndiyo yalikuwa mawazo ya Mkurugenzi mkuu wa TPA ambaye alipinga sana Wachina kupewa bureeee kuendeleza bandari ya Bagamoyo. Alitoa a detailed Cost Benefit Analysis kuonyesha kuwa hao Wachina walikuwa wavune tu bila kupanda. Matokeo yake yuko rumande hadi leo almost 2 years. Sasa serikali imeona ukweli jamani aachiwe au apelekwe mahakamani basiiii. Tuache uonevu.
 
THE GANG MOB, Dr Samia ameanza na mradi wa kimkakati container 10 ELFU.
HUKO MBELE TUTAKUJA JUA TU NANI ALIANZISHA MIRADI YENYE AKILI.
 
Sitarajii Serikali kutumia mapesa ya Bajeti ya ndani,kama hawana mbia Bora wakope..

Sasa wewe unadhani Sgr na Bandari ipi ni white elephant? Sgr itaendelea kuwa tembo mweupe miaka zaidi ya 50 ijayo.

Huwezi Jenga Sgr kusiko na mzigo,ingekuwa ya maana kama ingeenda SADC sio huko kwenye vinchi maskini
[/QUOTE]
Nashangaa tu, kwa mawazo kama haya!
It's hard to believe!
 
Uwasilishaji 'kichizichizi', huku ujumbe makini ukitolewa!

Hapo kwa 'Mama tozo' ndiyo hivyo tena, sidhani kuwa gesi itapona safari hii. Kuna magenge ya akina Makamba ni kama mafisi yakitoa udenda. Mama tozo ni sehemu ya genge hilohilo, usidanganywe na mtu.

Mradi kama huu wa bandari na mchina umeshindikana kwa vile kelele nyingi zilishapigwa, hapakuwepo na ufinyo tena wa kuendelea nayo katika mpango uleule; ikalazimu wateme.

Huo wa gesi hesabu maumivu tu, hakuna tumaini jingine hapo.

Sasa Makamba yupo kwenye kutafuta mafungu kwenye uwekezaji wa umeme. Ana spidi ya g-5 ili washenzi waje watukamue barabara. Hilo bwawa linalojengwa, unafuu wa umeme wake utafifishwa na bei watakazotoza hao wenye vikampuni vyao vya mifukoni vinavyotafutwa usiku na mchana waje wachume hapa.


Wimbo mashuhuri wanaouimba sasa hivi, ni huo huo mmoja tu, kwa kila kitu😛RIVATIZATION kwa kila kitu. Husikii hata mara moja wakihimiza kujijengea uwezo sisi wenyewe, hata katika mambo tunayoweza kuyamudu.
TICTS katoka, tunabandika wahindi!

Tunakwenda hivyo hivyo, sijui tutafika wapi?

Tunajiingiza wenyewe kwenye utegemezi kwa kila jambo, bila ya kutambua kwamba tunajiweka kwenye ukoloni mpya wa kiuchumi. Juzi KLM kakohoa tu, hatukujifunza kitu. Huo utalii tunaojivunia kuwa kivutio KLM pekee anaweza kuusambaratisha.

Hivi vikampuni tunavyopapatikia kuja hapa, siku moja vikiamrishwa kufunga nchi na wakubwa zao, hatutakuwa na la kusema bali kusalimu amri.

Urusi angekuwa ni legelege kama sisi wakati huu angekuwa na hali tabani kabisa.
 
Huchoki kuandika maujinga?
 
Nashangaa tu, kwa mawazo kama haya!
It's hard to believe!
[/QUOTE]
You know nothing kwenye uchumi
 
Pesa za kuajiri hata walimu tu ni mtihani hadi elimu ya watoto imebaki kituko, kazi kutafuta miradi ya kuwapa ten percent utafikiri nchi ina tatizo critical la bandari.
Na miradi mingine mikubwa bado haijakamilika. Kuna bwawa la Nyerere,sgr nk.
 
Dola 200? Are you serious?
 
Sipingi mradi.. Kama uchumi unaruhusu kufanya tufanye.. Kama ni mwarabu sawa wale pesa zimewazidia sijasikia kashfa za kudhulumu watu, ila tuingie mikataba kwa Umakini asiaminiwe mtu.
Ila kama ni mchina, narudia tena kama ni mchina, huo mradi tuuzie kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…