Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Uzeni kila kitu tuone kama mtaishi navyo milele,mbwa koko nyie
 
Hapo umewezaje sa mzee, hiyo miradi umeitaja yote ni pesa za mikopo na sio hera za ndani km alivokuwa akiwadanganya jiwe
 
Umeanza kuwa mjinga?


Nilichoandika kinalingana na ulichochangia hapa?
 
Umeanza kuwa mjinga?


Nilichoandika kinalingana na ulichochangia hapa?
Sasa unayejiona mwerevu huyo JPM anaingiaje hapa? Mradi wa Bagamoyo ulishapangwa kufanyika ugomvi ulikua pesa Gani itumike so sio kwamba JPM alizuia mradi Bali financing na hata Samia alikataa ule mkataba Sasa sielewi why JPM ndio unampa credit.

Acheni ushamba wa kudhani JPM ndio anaweza Kila kitu, hata Jk licha ya ufisadi ndio kajenga airport mpya, kaweka Barabara nchi nzima, kajenga Bomba la gesi, kajenga mwendokasi n.k

Kama inawauma sana mkamfufue au mzikwe naye. We are tired of this nonsense
 
Tulikopa
 
Huwezi muelewa Mchumi Kwa akili za historia au kukariri matrix
[/QUOTE]
Hilo neno 'matrix', naona ni msamiati mpya uliouokota hivi karibuni, au siyo?

Kwa hiyo, kulitumia unajisikia vizuri sana uonekane nawe uko-'update' sana.
 
Una wivu wa kijinga!
 
hiki kitu ni cha muhimu sana. jiwe tu ndo alikichukua akaona bora kajenge uwanja wa ndege wa bilioni 40 ambao haudondoki ndege yeyote.
 
Wadau naombeni kujuzwa, kule kitu kishaanza maeneo ya Zinga. Ndo maana utaona wajanja, wenye mihela washaanza kusafisha maeneo ili wajenge viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…