Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Habari ndugu Wana jukwaa.

Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.

Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato 😂😂.

Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa 👇

Habari ndugu Wana jukwaa.

Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma...
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.

Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.

Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
 
Mwenda zake alikuwa na akili za kujua yeye tu geita mkoa kagere mkoa mwanza mkoa na Chato pia huo ni uzuzu aliokuwa nao kichwa maji
Kwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mno

Hiyo Hospital ya Chato ambayo watu wengi hasa humu JF wanaipinga, imetusaidia wengine
 
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato...
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.

Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.

Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
 
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
Kwani Magufuli ndiye alikuwa Rais wakwanza aliyeanza kugawa mikoa mie nakumbuka mpaka nakuwa na uelewa nilkuta mikoa 20, Sasahivi kuna mikoa zaidi ya 25, Mkapa pamoja na Kikwete aligawa hatukuwahi kusikia makelele.Kwa Magufuli kwanini iwe nongwa? Nyinyi mnaopiga makelele ndio mashetani kwani ukiwepo mkoa wa Geita utapungukiwa nanini kama sio roho mbaya tu.
 
Kwani Magufuli ndiye alikuwa Rais wakwanza aliyeanza kugawa mikoa mie nakumbuka mpaka nakuwa na uelewa nilkuta mikoa 20, Sasahivi kuna mikoa zaidi ya 25 , Mkapa pamoja na Kikwete aligawa hatukuwahi kusikia makelele.Kwa Magufuli kwanini iwe nongwa? Nyinyi mnaopiga makelele ndio mashetani kwani ukiwepo mkoa wa Geita utapungukiwa nanini kama sio roho mbaya tu.
Kwa upande wetu sisi wakazi wa shinyanga wala hatuoni shida kuwepo mkoa huo ila shida ni wanasiasa ndio wamerumbana kwa chuki zao
 
Back
Top Bottom