The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Jikite kwenye hoja hata Kama unaumia 🤣🤣Vipi kuhusu uwanja wa ndege Chato, hospitali ya kanda ya Chato navyo vimeyeyuka ghafla?
Jikite kwenye hoja hata Kama unaumia [emoji1787][emoji1787]
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma...
Kwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mnoMwenda zake alikuwa na akili za kujua yeye tu geita mkoa kagere mkoa mwanza mkoa na Chato pia huo ni uzuzu aliokuwa nao kichwa maji
Ulibutuliwa na yule dikteta akakuacha bila kituYaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato...
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato...
Sisi tulisha toa hoja moja tu nayo ni ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Jikite kwenye hoja hata Kama unaumia [emoji1787][emoji1787]
Wanasema kichaa anachekesha akiwa hajatokea kwenye familia yakoYaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila...
Wanasema kichaa anachekesha akiwa hajatokea kwenye familia yakoYaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato...
Kumbe mikoa ina mamlaka ya kugoma maeneo yake kugawanywa? Mi nilikuwa sijui!Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
What is your point, idiot?Vipi kuhusu uwanja wa ndege Chato, hospitali ya kanda ya Chato navyo vimeyeyuka ghafla?
Kwani Magufuli ndiye alikuwa Rais wakwanza aliyeanza kugawa mikoa mie nakumbuka mpaka nakuwa na uelewa nilkuta mikoa 20, Sasahivi kuna mikoa zaidi ya 25, Mkapa pamoja na Kikwete aligawa hatukuwahi kusikia makelele.Kwa Magufuli kwanini iwe nongwa? Nyinyi mnaopiga makelele ndio mashetani kwani ukiwepo mkoa wa Geita utapungukiwa nanini kama sio roho mbaya tu.Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
Kwa upande wetu sisi wakazi wa shinyanga wala hatuoni shida kuwepo mkoa huo ila shida ni wanasiasa ndio wamerumbana kwa chuki zaoKwani Magufuli ndiye alikuwa Rais wakwanza aliyeanza kugawa mikoa mie nakumbuka mpaka nakuwa na uelewa nilkuta mikoa 20, Sasahivi kuna mikoa zaidi ya 25 , Mkapa pamoja na Kikwete aligawa hatukuwahi kusikia makelele.Kwa Magufuli kwanini iwe nongwa? Nyinyi mnaopiga makelele ndio mashetani kwani ukiwepo mkoa wa Geita utapungukiwa nanini kama sio roho mbaya tu.