Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Basdhi ya Wilaya za Tabora zilitakiwa kuungana na Kahama kuunda Mkoa.
Japo ikifanyika hivyo Shinyanga ndio itakuwa imekufa rasmi
 
Basdhi ya Wilaya za Tabora zilitakiwa kuungana na Kahama kuunda Mkoa.
Japo ikifanyika hivyo Shinyanga ndio itakuwa imekufa rasmi
Shinyanga haiwez kufa,mpaka sasa kahama inajitegemea kwa mambomeng2, mf TRA kahama nimkoa wa kod,na shy wanayao ya mkoa,madini kahama nimkoa,na shy nimkoa,maji kahama(kuwasa) ni mkoa,na shy ni mkoa,hospital inaboreshwa soon itakua ya rufaa.na taasisi nying za selikali zilizoko kahama zina jiweza kiuchumi mf tanesco,uhamiaji na polis
 
Hivi alikuwa KICHAA...
 
Inaonekana mkoa wa njombe huu jui ww ni mkoa ambao upo full Kila idara na ni miongoni mwa mikoa ambayo inakuwa kwa Kasi Sana Tanzania hii na katika mikoa mipya yote huu ndo top kwenye maendeleo na unaizidi mikoa mingi ya zaman na idadi ya watu kwenye mkoa si kigezo kama unavyofikiria ww katavi ilianza na watu laki 6 saiz inangap nakumbuka njombe ni moja ya mkoa wa kimkakati ko tegemea kuona miradi mingi mkoa wa njombe Na ndo mkoa unakuja kivingine kwa ujenzi wa makazi nyanda za juu kusini aka green gold city
Wakati mnaigawa Rukwa Magufuri alikuwa Rais ? Au wakati mnaifanya Njombe yenye watu laki nane kuwa mkoa ni Magifuri ndiye aliyeidhinisha ?
 
Kama hyo ndio point basi makao makuu ya huo mkoa yawe nyakanazi maana ndo center kwa kutokea kakonko,kibondo,ngara na biharamulo na chato yenyewe.
 
Kama hyo ndio point basi makao makuu ya huo mkoa yawe nyakanazi maana ndo center kwa kutokea kakonko,kibondo,ngara na biharamulo na chato yenyewe.
Hili swala rais ndo anapaswa kutoa maamuz ya mwisho maana kuanzisha mkoa mpya kwa kuusisha maeneo ya wilaya zingne huwa ni mtiti, kila mtu atataka makaomakuu ya mkoa yawe kweye wilaya yake.mnakumbuka mgogoro wa simiyu wako walo taka maswa iwe makao makuu na wako walo taka bariadi,halikadhalika geita wako walotaka geita na wako walotaka chato iwe makao makuu, rais ndo aliamua iwe geita.kuanzisha mkoa selikali ifanye ushirikishaji zen ije na maamuz ya kibabe.kwamba mkoa mpya upo na wilaya zake ni hizi.au hakuna cha mkoa mpya iliyopo ina tosha.
 
Wewe ndio uko sahihi. Mamlaka iliyo kuu ikiamua hakuna wa kubisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…