shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Akili zako ndo zimekutuma uandike "KAJINYONGE" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajinyonge pale burigi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako ndo zimekutuma uandike "KAJINYONGE" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajinyonge pale burigi
Basdhi ya Wilaya za Tabora zilitakiwa kuungana na Kahama kuunda Mkoa.Bora kahama ndo iwe mkoa maana ina watu milion 1 na lak2,ina halmashauli tatu inashughuli nyingi za kiuchumi,eneo ni kubwa kuliko kilimanjaro na dsm.lakin ina nafas ya kuongeza eneo kutoka tabora,wilaya za ulyankylu kaliua,uyui kidogo,na nzega,hata mbogwe nikarib zaid kuja kahama chin ya km 50,kuliko kwenda geita zaid ya km 100.
Shinyanga haiwez kufa,mpaka sasa kahama inajitegemea kwa mambomeng2, mf TRA kahama nimkoa wa kod,na shy wanayao ya mkoa,madini kahama nimkoa,na shy nimkoa,maji kahama(kuwasa) ni mkoa,na shy ni mkoa,hospital inaboreshwa soon itakua ya rufaa.na taasisi nying za selikali zilizoko kahama zina jiweza kiuchumi mf tanesco,uhamiaji na polisBasdhi ya Wilaya za Tabora zilitakiwa kuungana na Kahama kuunda Mkoa.
Japo ikifanyika hivyo Shinyanga ndio itakuwa imekufa rasmi
Hivi alikuwa KICHAA...Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado wanataka watushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa? They are not serious.
Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.
Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
Angalia matendo yake tu ndiyo utajuwa kama alikuwa na faili mirembeHivi alikuwa KICHAA...
Kamuulize mwenyeweKwani Makonda alikuwa na vyeti original?
Nakuuliza wewe chawa wakeKamuulize mwenyewe
Watanzania wanafurahi sana chato kutokuwa mkoaKamuulize mwenyewe
Nani kakudanganya kama mimi chawa kama wewe ?Nakuuliza wewe chawa wake
..Wewe ni chawa...Nani kakudanganya kama mimi chawa kama wewe ?
Wakati mnaigawa Rukwa Magufuri alikuwa Rais ? Au wakati mnaifanya Njombe yenye watu laki nane kuwa mkoa ni Magifuri ndiye aliyeidhinisha ?
Wewe ni chawaNani kakudanganya kama mimi chawa kama wewe ?
Kama hyo ndio point basi makao makuu ya huo mkoa yawe nyakanazi maana ndo center kwa kutokea kakonko,kibondo,ngara na biharamulo na chato yenyewe.nadhani ni busara kwa chato kupewa mkoa.hebu fkiria mwananchi atoke kakonko kwenda kufuata huduma kigoma mjini hii si sawa.nadhani imegwe biharamulo,kakonko,mbogwe ziende kuunda mkoa mpya wa chato.wanaokataa chato kuwa mkoa ni wanasiasa na sababu kubwa watapoteza majimbo ndo maana wanang'ang'ania chato isiwe mkoa.kwa ushauri na mawazo yangu wanasiasa wangeweka maslahi mapama kwa wananchi wao.kutoka kibondo kwenda kigoma ni zaidi ya masaa saba sasa huku si kuwaumiza wananchi?
Hili swala rais ndo anapaswa kutoa maamuz ya mwisho maana kuanzisha mkoa mpya kwa kuusisha maeneo ya wilaya zingne huwa ni mtiti, kila mtu atataka makaomakuu ya mkoa yawe kweye wilaya yake.mnakumbuka mgogoro wa simiyu wako walo taka maswa iwe makao makuu na wako walo taka bariadi,halikadhalika geita wako walotaka geita na wako walotaka chato iwe makao makuu, rais ndo aliamua iwe geita.kuanzisha mkoa selikali ifanye ushirikishaji zen ije na maamuz ya kibabe.kwamba mkoa mpya upo na wilaya zake ni hizi.au hakuna cha mkoa mpya iliyopo ina tosha.Kama hyo ndio point basi makao makuu ya huo mkoa yawe nyakanazi maana ndo center kwa kutokea kakonko,kibondo,ngara na biharamulo na chato yenyewe.
Wewe ndio uko sahihi. Mamlaka iliyo kuu ikiamua hakuna wa kubisha.Hili swala rais ndo anapaswa kutoa maamuz ya mwisho maana kuanzisha mkoa mpya kwa kuusisha maeneo ya wilaya zingne huwa ni mtiti, kila mtu atataka makaomakuu ya mkoa yawe kweye wilaya yake.mnakumbuka mgogoro wa simiyu wako walo taka maswa iwe makao makuu na wako walo taka bariadi,halikadhalika geita wako walotaka geita na wako walotaka chato iwe makao makuu, rais ndo aliamua iwe geita.kuanzisha mkoa selikali ifanye ushirikishaji zen ije na maamuz ya kibabe.kwamba mkoa mpya upo na wilaya zake ni hizi.au hakuna cha mkoa mpya iliyopo ina tosha.
Watanzania hatupo tayari kuharibu fedha za taifa kwa kuamzisha mkoa wa chatoWewe ndio uko sahihi. Mamlaka iliyo kuu ikiamua hakuna wa kubisha.
Sema Mamlaka iliyo kuu ndio haiko tayari siyo watanzaniaWatanzania hatupo tayari kuharibu fedha za taifa kwa kuamzisha mkoa wa chato
WatanzaniaSema Mamlaka iliyo kuu ndio haiko tayari siyo watanzania