Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Yaani unyimwe hadhi ya mkoa wakupe hadhi halmashauri ya mji?
Ee inawezekana maana vigezo vya mji sio vigumu sana kama vya mkoa,mkoa ina bidi uombe wilaya jiran na mikoa jiran,wakigoma ndo kama ivyo chato wamegomewa na kagera,ila mji ni wewe na tamisemitu kama umekizi vigezo vyao wanakupa.
 
Kwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mno

Hiyo Hospital ya Chato ambayo watu wengi hasa humu JF wanaipinga, imetusaidia wengine
Toka lini hospital ikakosa msaada??
 
Hawa watu wanachuki binafsi na Magufuli akuna kingine unakuta Mtu anatoka Biaramulo anafuata uduma Bukoba njini ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 7 hawezi kwenda na kurudi siku hiyo hiyo,sasa Biaramulo ikimegwa kudogo ikapelekwa Chato ambapo ni karibu kuna ubaya gani?
Mbona uwahurumii wa mkoa wa morogoro na Tabora, waache wa biharamulo walalamike wenyewe sio wewe wa chato kuwasemea.
 
Hakuna mkoa nisiofika nchi hii wewe ndio unakurupuka. Unaujua umbali wa kutoka Ngara hadi makao makuu ya mkoa Bukoba ? Unajua umbali wa kutoka Kakonko hadi Makao makuu ya mkoa Kigoma ? Wewe ndio hujui kitu. Ukweli ni kwamba mikoa ya Njombe na Katavi ilianzishwa kwa sababu ya ushawishi ya viongozi wazawa waliokuwa huko kama spika wa bunge na waziri mkuu lakini haikustahili kabisa. Knachokusumbua ni chuki wala hujui chochote.
HAmia karibu na huduma unaishi huko maporini unekuwa nyani.
 
Kwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mno

Hiyo Hospital ya Chato ambayo watu wengi hasa humu JF wanaipinga, imetusaidia wengine
Haujui kitu wewe hata wangetembelea baiskeli bado umaskini ungekuwepo
 
Back
Top Bottom