Wameukosa mkoa,Itabidi wapozwe kwa halmashauli yao kupandishwa kua ya mji chato.Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameukosa mkoa,Itabidi wapozwe kwa halmashauli yao kupandishwa kua ya mji chato.Watanzania
Labda kwa hapoWameukosa mkoa,Itabidi wapozwe kwa halmashauli yao kupandishwa kua ya mji chato.
Yaani unyimwe hadhi ya mkoa wakupe hadhi halmashauri ya mji?Safi sana
Ee inawezekana maana vigezo vya mji sio vigumu sana kama vya mkoa,mkoa ina bidi uombe wilaya jiran na mikoa jiran,wakigoma ndo kama ivyo chato wamegomewa na kagera,ila mji ni wewe na tamisemitu kama umekizi vigezo vyao wanakupa.Yaani unyimwe hadhi ya mkoa wakupe hadhi halmashauri ya mji?
Mbona Kahama ni Manispaa na siyo mkoaYaani unyimwe hadhi ya mkoa wakupe hadhi halmashauri ya mji?
Tunaongelea mkoa vs chato.Mbona Kahama ni Manispaa na siyo mkoa
Toka lini hospital ikakosa msaada??Kwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mno
Hiyo Hospital ya Chato ambayo watu wengi hasa humu JF wanaipinga, imetusaidia wengine
Mbona uwahurumii wa mkoa wa morogoro na Tabora, waache wa biharamulo walalamike wenyewe sio wewe wa chato kuwasemea.Hawa watu wanachuki binafsi na Magufuli akuna kingine unakuta Mtu anatoka Biaramulo anafuata uduma Bukoba njini ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 7 hawezi kwenda na kurudi siku hiyo hiyo,sasa Biaramulo ikimegwa kudogo ikapelekwa Chato ambapo ni karibu kuna ubaya gani?
HAmia karibu na huduma unaishi huko maporini unekuwa nyani.Hakuna mkoa nisiofika nchi hii wewe ndio unakurupuka. Unaujua umbali wa kutoka Ngara hadi makao makuu ya mkoa Bukoba ? Unajua umbali wa kutoka Kakonko hadi Makao makuu ya mkoa Kigoma ? Wewe ndio hujui kitu. Ukweli ni kwamba mikoa ya Njombe na Katavi ilianzishwa kwa sababu ya ushawishi ya viongozi wazawa waliokuwa huko kama spika wa bunge na waziri mkuu lakini haikustahili kabisa. Knachokusumbua ni chuki wala hujui chochote.
Haujui kitu wewe hata wangetembelea baiskeli bado umaskini ungekuwepoKwani chato ikiwa Mkoa kuna shida gani ? Akili za kujua wenyewe wanazo viongozi wa CCM wote ambao wameruhusu wakuu wa mikoa, mawaziri nk kutembelea Land cruiser za bei ghali hii ndio sababu nchi yenu ni masikini, matumizi ni makubwa mno
Hiyo Hospital ya Chato ambayo watu wengi hasa humu JF wanaipinga, imetusaidia wengine